Hon Mishi Juma Khamisi

Mishi actively participated in Likoni political campaigns in 1997 and 2002. She vied for Likoni parliamentary seat in 2007 and lost in party nominations which were marred by irregularities. She would like to see government funded drug rehabilitation centres established in Mombasa.

All parliamentary appearances

Entries 241 to 250 of 404.

  • 6 Dec 2017 in National Assembly: Thank you. view
  • 14 Jun 2017 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika. Kwanza, nachukua nafasi hii kumpatia kongole dadangu Mhe. Sabina Chege kwa kutupatia Mswada kama huu. Sisi kama viongozi akina mama 47, sababu moja ambayo kulitengezwa viti hivi ni kuwa tuweze kuhakikisha haki za akina mama na watoto zimeangaliwa. Katika Mswada huu, ametimiza jukumu lake kama kiongozi wa akina mama. Sote tunafahamu kwamba maziwa ya mama ni muhimu sana kwa mtoto mchanga kwa sababu yanapunguza maradhi mengi ambayo yangekuwa rahisi sana kumshika mtoto katika umri mdogo kama ule. Vile vile, tukizingatia watoto ambao wamezaliwa na maradhi ya kisasa ya ukimwi, madaktari wanahimiza sana mtoto yule anyonyeshwe ... view
  • 14 Jun 2017 in National Assembly: wafanyikazi katika taasisi za kibinafsi ama wale ambao wameandikwa na waajiri wa kibinafsi. Imekuwa matatizo sana haswa kwa hao wanaofanya kazi kama vijakazi wa ndani ya nyumba. Watu hao wanapata mateso mengi sana. Kwanza, hawapatiwi nafasi. Hata hizo nafasi za siku za view
  • 14 Jun 2017 in National Assembly: huwa kwao ni haba. Vile vile, huwa hawapati nafasi yoyote ya mapumziko katika siku nzima ambayo wako kazi. Kwa hivyo, Mswada huu utakopopitishwa, wale waajiri wa kibinasfi watahakikisha kwamba wamefuata sheria hii inavyotakikana. Kama ndugu yangu Tong’i alivyozungumza, kuna masuala katika Mswada huu ambayo yatakuwa magumu kwa waajiri. Pengine, katika kutengeneza ile nafasi na kuhakikisha kwamba taratibu zilizoko katika Mswada huu zimefuatwa, itakuwa ni vizuri waangalie mipango za zile nyakati ambazo mama yule anaweza kupatiwa ruhusa ya kurudi nyumbani kumnyonyesha mtoto kwa njia inayotakikana. Ikiwa hataweza, itambidi afuate sheria hii vile inavyosema. Vile vile, nakubaliana na mwenzangu aliyesema kwamba kunyonyesha ... view
  • 14 Jun 2017 in National Assembly: Swala hili ambalo Mheshimiwa amelitoa ni nzuri sana. Wakati wametengeneza zile nafasi, tusiweke na kusema: ―Tumeambiwa basi tufanye tu kwa njia ya kuonekana tumefanya. Lakini hatufanyi kwa njia ya sawa.‖ Tumeona akina mama wakikimbia kunyonyesha watoto chooni na kwenye jiko wakisema: ―Wacha nikimbie kunyonyesha mtoto hapa kwenye jiko. Nimeletewa mtoto na msichana wa kazi.‖ Sehemu kama zile haziwezi kumpatia mtoto nafasi nzuri na kumpa ile haki yake inayotakikana. Pia, nakubaliana ya kwamba dakika arobaine si nyingi. Ni za usawa kwa sababu kabla hujamnyonyesha mtoto, kuna mambo kadha wa kadha ambayo lazima yafanye. Nashukuru ya kwamba tumeambiwa kutakuwa na beseni ambalo ... view
  • 14 Jun 2017 in National Assembly: Vile vile, ni jukumu la Serikali kushirikiana pamoja na taasisi za kiafya kuhakikisha hayo mambo mengine yasiyozungumziwa hapa kama vile kile chakula ama vitafunio yanatimizwa. Hii ni kwa ajili ya kuhakikisha kwamba watoto wataweza kukuwa kwa njia inayofaa kulingana na lisho bora. Najua kuna utaratibu wa mambo ya lisho bora unaofanywa kupitia zahanati zetu na Serikali. Kwa hivyo, kama kutakuwa na ushirikiano kama huo, hayo matatizo mengine yatakuwa si magumu kuyatatua kulingana na Mswada huu. Jinsi ulivyozungumza, mambo ya kuangalia mazingira vile yatakavyokuwa pale pahali ambapo pametengwa kwa mtoto kunyonyeshwa ni muhimu sana. Tusione tu ya kwamba tumeambiwa tuweke mahali ... view
  • 14 Jun 2017 in National Assembly: kuhakikisha kuwa Msaada kama huu umefanyika na kutekelezwa, Bunge hili litakuwa limeweka historia nzuri sana ya kuwafikiria watoto wachanga na akina mama na kuwapatia haki zao. Hakuna jambo nzuri kama mama kuwa na nafasi ya kumnyonyesha mtoto. Hiyo ndio njia ya kuwa yule mtoto anasoma mambo mengi kutoka kwa mama na anaweza kufahamiana na mamake kwa karibu sana, kwa sababu mtoto mchanga anasomeshwa na mama. Sisi akina mama huwa wakati tunawanyonyesha tunawazungumzia na kuwasemea. Wao pengine watacheka tu, lakini katika kule kucheka, ndio ya kwamba amesoma yale ambayo umemweleza na kumufahamisha. Kwa hivyo, ile njia ya kusoma kwa mtoto inaanzia ... view
  • 7 Feb 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. I want to support this amendment by the Chair because most of the times the casual employees are denied their salaries and are frustrated. Having the terms and conditions will help in catering for their welfare. Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. view
  • 7 Feb 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. I support this amendment. It is in line with the Constitution according to the Bill of Rights in terms of gender parity, people living with disabilities and the youth. This is also a way of minimizing tribalism in terms of Government appointments. It will ensure fair distribution of Government positions, especially when it comes to decision-making. It will also ensure that we are one country and people. view
  • 7 Feb 2017 in National Assembly: No! I am not a Member. This is a good amendment because we need to have somebody liable for everything and for accountability purposes. I support it. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus