Mohammed Ali Mohamed

Parties & Coalitions

Hon. Mohammed Ali Mohamed

Hon. Mohammed Ali is a former Investigative Journalist with KTN. He initially planned to run for office on an ODM ticket but lost the nominations.He nonetheless went on to win the seat as an independent candidate.

Hon. Mohammed Ali was also a finalist in the People's Shujaaz Awards 2018 edition under the Health category.

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 104.

  • 8 Jun 2021 in National Assembly: Kwa hivyo, Mhe. Spika, siwezi kusema nitaomba msamaha kwa jambo ambalo silijui. Watu huomba msamaha kwa mambo ambayo wanayajua. Kwa kumalizia, ushahidi uliotelewa na mwenzangu Moses Kuria wa Kshs100,000 ni ushahidi tosha katika Bunge hili. Kwa hivyo, Mhe. Spika naomba… view
  • 8 Jun 2021 in National Assembly: Mhe. Spika, jambo ambalo nasema kibinafsi, kivyangu ni kwamba… view
  • 8 Jun 2021 in National Assembly: Mhe. Spika, sahamani. Tuko katika masuala ya mtandao na watu wanaweza kuangalia mahali popote walipo vile mambo yalivyoendelea. view
  • 8 Jun 2021 in National Assembly: Mhe. Spika, kivyangu, nasema sijui ni nani aliyeyatoa malalamishi hayo. Kwa hivyo, sijui nitamjibu kivipi. Kivyangu, nasema ni mambo ambayo yamepitwa na wakati na tuendelee mbele. Mimi sijui nani amenishtaki na amenishtaki katika misingi ipi. view
  • 8 Jun 2021 in National Assembly: Mhe. Spika, kwa rekodi ya hili Bunge, sidhani kama nimetaja jambo kama hilo hapa. view
  • 8 Jun 2021 in National Assembly: Not in this Parliament. view
  • 8 Jun 2021 in National Assembly: No, Hon. Speaker. view
  • 6 May 2021 in National Assembly: Mimi, Mohamed Ali Mohamed, kwa niaba ya wakaazi wa Eneo Bunge la Nyali na taifa nzima kwa ujumla, napiga kura ya la. view
  • 11 Mar 2021 in National Assembly: Shukrani sana Mhe. Spika. Hili ni Bunge la heshima. Ni mahala ambapo sheria ya taifa inaundwa. Ukiona Wabunge wakizungumza kwa hamasa na hasira, ni kwa sababau Bunge hili limeanza kudharauliwa na baadhi ya Mawaziri katika Serikali. Nimesikia Wabunge wakisema ya kwamba kila mara wanapoleta masuala yao mbele ya Wizara, hawasikizwi kwa sababu tumedharauliwa. Wizara mbili zinazo matatizo sana ni ya Usalama wa Ndani na Wizara ya Uchukuzi. view
  • 11 Mar 2021 in National Assembly: Jana nimemsikia Waziri wa Usalama wa Ndani Bw. Fred Matiang’i akisema ya kwamba mahakama ni sharti ifanye vile wanataka. Huyu Matiang’i binafsi amekataa kuheshimu sheria za hii nchi. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus