Mohammed Ali Mohamed

Parties & Coalitions

Hon. Mohammed Ali Mohamed

Hon. Mohammed Ali is a former Investigative Journalist with KTN. He initially planned to run for office on an ODM ticket but lost the nominations.He nonetheless went on to win the seat as an independent candidate.

Hon. Mohammed Ali was also a finalist in the People's Shujaaz Awards 2018 edition under the Health category.

All parliamentary appearances

Entries 101 to 104 of 104.

  • 14 Mar 2018 in National Assembly: lakini tumeamua kuweka makaratasi yetu kwenye mifuko na kushabikia ukiritimba. Hili leo nalipite ili tuweze kupata hospitali katika kila kaunti Kenya nzima. Bado nitaendelea kulilia hili suala kwa sababu linahusu mwananchi wa kawaida. Nitazungumzia hospitali na vile vile madaktari wenyewe. Katika Kenya ya sasa, madaktari ambao tunawategemea wanalipwa mishahara ambayo haiingii akilini. Nitaanza na ile wanaita view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: ambayo ni hatua ya kwanza ya daktari kuingia. Mshahara wao wa kwanza wakimaliza mafunzo ni Kshs44,000. Daktari aliyekaa katika taaluma hiyo kwa muda wa kati ya miaka 10 na 15 – daktari ambaye anakuangalia tu hivi na anajua dawa yako – analipwa Kshs114,000 katika Kenya ya sasa. Ndio unaona tumekuwa na uhaba wa madaktari. Wengi wao wanakimbia kwenda kufanya kazi nje. Wengi wanafungua hospitali zao za kibinafsi ambazo haziwezi kufikiwa. Daktari aliye na uzoefu wa zaidi ya miaka 15 analipwa takriban Ksh200,000. Watu wanaumia na wanakufa. Sisi tuna uwezo. Mungu hatusamehi sisi Wabunge kwa sababu tukiwa wagonjwa tuna suluhu. Sisi ... view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Jameni, hili si jambo la kuchekea wala kushabikia. Watu wanakufa. Leo maradhi madogo madogo yanatusumbua. Nimekupa mfano wakati nilipoanza mjadala wangu. Naona muda unanipa kisogo. Ningelipenda kusoma na kuelezea mengi zaidi lakini kwa hayo machache naomba ya kwamba haya yamewaingia Wabunge. Naomba kuwasilisha Hoja hii na atakaye afiki, yani Seconder, ni Mheshimiwa Kanini Kega. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus