Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 301 to 310 of 424.

  • 21 Jun 2023 in Senate: instrument of whatever nature, in relation to cotton, shall, on the appointed day, be read and construed as a reference to the Board. view
  • 21 Jun 2023 in Senate: La pili ni mambo na mchele. Umetupatia mbolea. Tunalima mchele Mwea, Bunyala, Ahero na Bura na tutalima mchele wa kutosha. Kwa hivyo, ninaomba wakati mnafanya uamuzi wa kununua mchele kutoka nje, mhakikishe ya kwamba ule mchele ambao tutalima kwa hiyo mbolea ya ruzuku, mmeuchukua wote ili wakulima wafurahie. Kuna kiwanda ambacho kinaitwa MRGM. Kilichukuliwa mchele na KNTC, ambayo ninajua haiko kwa Wizara yako. Lakini, toka Desemba hadi leo, hawajalipwa pesa zao. Wameanza kukopa pesa ili wapande mchele kwa sababu huu ni msimu wa upanzi. Ninaomba pia uzungumze na Waziri wa Kilimo pia, ili walipwe ndio wasikope pesa ama pembejeo za ... view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Asante sana kwa kazi unayofanya. view
  • 21 Jun 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Madam Temporary Chairperson, I beg to Move: - THAT, the Bill be amended by inserting the following New Clause 54- view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Previous view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Madam Temporary Chairperson, I beg to Move: _ THAT, the Bill be amended by inserting the following New Clause 55- Staff view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Madam Temporary Chairperson, I beg to Move- THAT Clause 2 of the Bill be amended by inserting the following definitions immediately after — a) the definition of “chief executive officer” — view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Asante Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Ushiriki wa Umma tuliofanya kuhusu ukulima katika Seneti, tulianza na Mswada ulioletwa na Sen. Wambua. Tulienda Kitui na Sen. Beth Syengo. Niliona mapenzi mengi kutoka kwa watu wa Kitui. Sen. Wambua ameleta Mswada kuhusu ndengu na Sen. Beth Syengo ameleta Mswada kuhusu pamba. Zote zinakuzwa sehemu tofauti. Tulienda mahali panaitwa Ngomeni, ambapo ni nyumbani kwa Sen. Beth Syengo. Huo wakati kulikuwa na ukame kabisa. Sababu ilioyonifanya niamue kwamba mimi nitakufa na huu Mswada kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ukulima ni kwamba, hata kulikuwa na shida na njaa nyingi pale, wale wakulima ... view
  • 21 Jun 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus