Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 381 to 390 of 424.

  • 16 Mar 2023 in Senate: Asante Bw. Spika kwa kunipa nafasi hii ili kuchangia Hoja hii kuhusu upanzi wa miti. Namsihi Sen. (Dr.) Oburu kwamba anapoalika marafiki wake kama Sen. Cheruiyot kuona miti waliopanda, vile vile aalike maadui wake kama mimi ili pia twende kuiona kwa sababu upanzi wa miti ni wa kila mtu. Kubadilika kwa hali ya anga kunachangiwa pakubwa na kukosa kupanda hasa miti ya kiasili kwenye vyanzo vya maji. Sen. (Dr.) Oburu amesema kwamba maji yanaelekea kwenye Ziwa Viktoria wakati mvua inaponyesha katika nyanda za juu. view
  • 16 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 16 Mar 2023 in Senate: Ningependa afahamu kuwa mito hiyo pia huelekeza maji yake kwenye Ziwa Viktoria. Kwa hivyo, kuna faida pande zote mbili. Nina Hoja kuhusu upanzi wa miti. Hata hivyo, kuna aina ya miti ambayo haifai kupandwa katika maeneo ya chemichemi. Naunga mkono Hoja hii. Mvua imeanza kunyesha. Kwa hivyo tupande miti kwa wingi ili kuhifadhi sehemu ambazo ni chemichemi ili tupate mvua ya kutosha. Asante sana. view
  • 16 Mar 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I take this opportunity to welcome the visiting delegation from Rukanga Secondary School, which is found in the western part of Kirinyaga. I would like to encourage the students that as long as they see their Senator here, because I have a long story, they can also make it in life. Gone are the days when we used to tell students that they are the leaders of tomorrow. I am ready and aware that when the time comes, I will need a leader to replace me as the Senator for Kirinyaga and even go further than I ... view
  • 9 Mar 2023 in Senate: Asante sana, Bw. Spika. Pia nitaongea kwa Kiswahili kama mwenzangu Sen. Kinyua wa Laikipia. Kwanza, ninampa kongole Kiongozi wa Wali Wengi kwa kuleta Mswada huu ambao unahusisha jamii ya Kipsigis. Pia sisi mahali nimetoka, Kirinyaga, tuko na tabu pia ya mashamba lakini yetu ni tofauti kidogo. Eneo la Mwea wakati wa ukoloni lilikuwa limefanywa jela ya wale watu waliokuwa wanapigania Uhuru. Baada ya uhuru kupatikana, watu wa Kirinyaga na wengine, waliwawachwa katika yale mashamba ambayo mpaka wanaishi kama wenyewe lakini sio wenyewe kwa sababu bado hawajapewa hati miliki. Serikali yetu ya Kenya Kwanza inazingatia na kuhifadhi heshima ya mahuluku taabu ... view
  • 9 Mar 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I thank you for giving me this opportunity. I am happy today because I will be able to introduce a school from my county in the right way. The last time it was not very good. St. Mary Kagio Boys Secondary School comes from Kirinyaga County. It is located in Mutithi Ward in Mwea Constituency. Mr. Speaker, Sir, most likely 66 per cent of the bananas and the fruits you eat when you are in Nairobi and Mombasa, I can assure must have come from Kagio. This is because we also host one of the biggest markets ... view
  • 9 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 9 Mar 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I think the Senate Majority Leader was speaking and I could not hear. He confused me. view
  • 9 Mar 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise, pursuant to Standing Order No. 53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on National Security, Defence and Foreign Relations on the status of investigations into the death of Mr. Kennedy Njoroge and Mr. Ndung’u Njoroge in Mwea Subcounty. In the Statement, the Committee should - (1) Inform the Senate of the circumstances leading to the deaths of the two brothers; Mr. Kennedy Njoroge and Mr. Ndung’u Njoroge, that occurred in Mwea Sub- County on 14th February, 2023. (2) Appraise the senate of the state of investigations into the deaths of the ... view
  • 8 Mar 2023 in Senate: Asante sana, Mstahiki Spika. Ninampa kongole Mwenye Ardhilhali aliyeomba kuhusu malipo ya uzeeni na nyongezo ya mishahara ya walimu. Ni kitu kinafaa kuzingatiwa kwa maana kwa muda mrefu mambo yanayokumba waalimu mengi hayajakuwa ya kutia moyo sana. Ya kwanza, kuna uhawilisho ambao umekuwa ukiendelea; kupelekwa eneo tofauti na bado wanalipwa mishahara ile ile. Kwa hivyo, ni vizuri hiyo nyongeza izingatiwe na ada ya walimu pia iangaliwe. Nilikuwa nimeomba Ardhilhali ambayo ilienda kwa Kamati ya Leba na Maslahi ya Jamii kuhusu malipo ya wale madiwani waliokuwepo. Ni vizuri pia ile izingatiwe kwa sababu tunapokaa sana bila kuwalipa halafu tunalipa wakati miaka ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus