11 May 2021 in Senate:
Wakati nilienda Kasigau kumzika mamake aliyekuwa Seneta wa Taita, Seneta Dan Mwazo, tulipikiwa na kukaa na Watanzania. Waliniambia kwamba katika eneo hilo wanapata huduma za hospitali kwa bei nafuu upande wa Tanzania. Sisi kama Wakenya tuna mambo mengi ambayo tunafaa kuyaiga kutoka kwa ndugu zetu Watanzania.
view
11 May 2021 in Senate:
Wakati Seneta Wako atapewa nafasi kuzungumza, labda atatueleza jambo hili lilitoka wapi. Nilimwuliza dereva aliyekuwa ananielekeza pamoja na familia yangu jina lake. Unajua sisi tuna tabia ya kuuliza watu majina yao. Aliniambia anaitwa Amos. Mimi sikuridhika na jina Amos. Nilitaka aniambie jina lake la pili ili nijue ni wa kabila ipi. Ukabila wetu na mambo ambayo tunafanya ni tabia mbaya. Tunauliza maswali hayo ili tujue kama tunaweza kunong’onezana kwa lugha ya mama. Bi. Spika wa Muda, kuna kamati kubwa ambayo ina wanachama wanne wanaotoka kabila moja. Wakati mkutano unaendelea, wanazungumza kwa lugha ya mama. Ni kwa nini? Nilimwuliza huyo dereva, ...
view
11 May 2021 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, kuna stakabadhi za Serikali ambazo zinahijataji useme wewe ni wa kabila lipi. Wewe ni wakili kama mimi. Ukienda kortini utaona kuwa kuna stakabadhi, kwa mfano, charge sheet unahitajika kuandika kabila lako. Wakati utafika tuseme kwamba jambo hili halileti utengamano na uwiano katika jamii zetu. Iwe ni hatia kuzungumza lugha ya mama kwenye mkutano au hadharani. Ukitaka kuzungumza lugha ya mama, ujifungie uzungumze kwako nyumbani ukiwa peka yako kwa sababu unaweza kuwa umemwoa mtu ambaye si wa kabila lako. Hilo ni jambo ambalo tunafaa kuiga kutoka kwa Watanzania. Tungepatiwa nafasi, tungehamia huko tutafute familia, lakini kwa sababu ...
view
11 May 2021 in Senate:
Ninamshukuru Rais Suluhu. Aendelee kutaja mijadala tuliyo nayo katika Seneti. Ninajua kwa hakika kwamba alikuwa anatazama mjadala wa Seneti. Tutaendelea vivyo hivyo na twaomba kwamba hivi karibuni, tutaona hao Marais wa Mataifa ya Rwanda, Burundi na Tanzania wakikaa pamoja. Hakuna haja sisi tutoke hapa, Kamati ya watu karibu ishirini wanaenda kuangalia ni kwa nini Kigali wamepanda nyasi barabarani, wamepanda miti au hakuna uchafu. Aaaaaiiih!
view
11 May 2021 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
11 May 2021 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, tukae chini kama watu ambao wanazungumza lugha moja; Warwanda wanazungumza Kiswahili na Waganda wanazungumza Kiswahili. Tuhakikishe kwamba twaweza kuzungumza Kiswahili tukiwa Rwanda, Tanzania na Uganda. Na tutafute nafasi kama Bunge pia tuwe tukifanya majadiliano katika nchi zetu ambazo hao watu wote ni ndugu na dada zetu. Asante kwa nafasi hii.
view
6 May 2021 in Senate:
.: Sen. Cherargei should have been mentored. Mr. Speaker, Sir, it is useful to have interns. I am not sure whether this is the first time. Sen. Wetangula and I have been here long enough and we have never seen interns before. More importantly is that they should be attached at some level to the Senators because we do the drafting and debate. Sen. (Prof.) Kindiki is a law teacher and there is a lot to learn from him. Sen. Wetangula does not say this as much but he interned with my late father. Therefore, there should be another Sen. ...
view
6 May 2021 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
6 May 2021 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I thought that---
view
6 May 2021 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I had this discussion with Sen. Sakaja a few minutes ago. Would I be in order to propose that you cause the Speech of the President of Tanzania to be tabled, debated or noted because of the international obligations that were referred to in that Speech and our role in those international obligations? We can also appreciate that Speech because it was one of its kind. I thought that you would make some communication on it.
view