11 Mar 2015 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairman, I support that amendment. Without a valid court order, the police officer is likely to abuse the process and we may have the wrong persons arrested and charges preferred against them. I support.
view
25 Feb 2015 in National Assembly:
Shukrani sana Bi. Naibu Spika wa Muda kwa fursa hii. Ningependa, mwanzo, nitoe shukrani zangu za dhati kwake mhe Wangamati kwa kuleta Hoja hii. Naiunga mkono Hoja hii kwa maana ni nzuri na imeletwa kwa wakati mwafaka. Upiganiaji uhuru katika nchi yetu haukuwa kazi ya mtu mmoja. Kazi hii ilifanywa na watu binafsi, jamii na taasisi mbali mbali. Ili tuweze kujua mambo yalivyojiri, kuna maswali ambayo lazima tuulize na tupate majibu. Swali la kwanza ni hili: Ni akina nani walipigania uhuru? Pili, katika kupiginia uhuru ni yapi mema na mabaya yaliyotokea? Je, hali ya maisha ya wapiganiaji huru leo hii ...
view
25 Feb 2015 in National Assembly:
Hizi ndizo baadhi za taasisi ambazo zilikuwa zikitumiwa na watu kuangalia mambo hapa na pale ili kuhakikisha ya kwamba wamepeana habari ya jinsi mkoloni alivyokuwa anapanga kunyanyasa Wakenya. Taasisi hizi zimeachwa nyuma. Wale wazee ambao wanakaa ndani ya zile kaya wanateseka na taasisi hizi pia zimeachwa nyuma. Zingine zinachukuliwa na watu ambao wanachukua ardhi ilhali serikali tofauti tofauti hazijaingilia kati na kuchukua hatua. Ni kweli watu walienda mahakamani na kuna malipo ambayo yalitoka na kuna wale ambao walilipwa na wengine hawajalipwa. Kile ambacho ningehimiza ni kwamba mbali na mahakama, Serikali yetu ya Kenya, ambayo tuko na imani nayo, kwa hakika ...
view
25 Feb 2015 in National Assembly:
Kuna haja ya sisi kama Wakenya na Serikali kujifunza kutoa shukrani kwa watu ambao wamefanya kazi na watu ambao wanasaidia kwa hali kubwa kuhakikisha na kuendeleza maswala ya maendeleo kwa Jamhuri ya Kenya. Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, kwa hayo maneno machache, ningependa kuunga mkono Hoja hii. Asante.
view
18 Feb 2015 in National Assembly:
Thank you, hon. Temporary Deputy Chairman for this opportunity. I rise to support the amendment. Once this passes we will have some serious reference to these Members. In fact, hon. Mwaura is extremely happy. He has indicated to me that one day, probably, he will be referred to as “His Excellency the First Gentleman.” This is quite important. I support.
view
10 Feb 2015 in National Assembly:
Thank you, hon. Speaker for this opportunity. On behalf of the people of Kaloleni, and on my behalf, I wish to take this opportunity to condole with the family of the late hon. Muchai and the families of the three aides who passed away. Security is paramount. I also want to point out that there are many guns out there, which are in the hands of people who are not licensed to hold them. For instance, in November last year, a police station was raided in my constituency and a gun was taken from a police officer who was eventually ...
view
10 Feb 2015 in National Assembly:
With those few remarks, I pray to God that he gives strength to the family of hon. Muchai and the families of his three aides at this very trying moment.
view
11 Dec 2014 in National Assembly:
Thank you, hon. Deputy Speaker for giving me this opportunity. I must begin by thanking the substantive Speaker, you, hon. Deputy Speaker and the Speaker’s Panel for the guidance and direction that you have given to this House. It has been a wonderful Session. As we now take a break and proceed for recess, this is another opportunity where, as leaders, we must unite this country. Even after the 2013 elections, it is still apparent that we are a divided nation. As we proceed for this recess, this is another opportunity for us to tell our people the need for ...
view
10 Dec 2014 in National Assembly:
Thank you, hon. Speaker for this opportunity. On behalf of the people of Kaloleni Constituency, my party, the Kenya African Democratic Union (KADU) Asili and my family, I wish to condole with the family and relatives of the late hon. J.J. Kamotho. Indeed, the country has lost a great leader. As a result of his death, there are a few lessons that we have learned. The first one is humility. The late hon. J.J. Kamotho served his party with a lot of humility. He dedicated his life to the party and I think this is one important thing we need ...
view
10 Dec 2014 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, ningependa kuichukua fursa hii kukushukuru kwa kunipa nafasi hii ya kuchangia Mswada huu. Nitaanza kwa kumshukuru Mhe. Lekuton ambaye kwa wazo lake la burasa, ameuleta Mswada huu. Mswada huu unaelekea hasa kuangalia maswala ya usalama wa watoto wa shule. Ukiangalia baadhi ya mambo ambayo yamezungumziwa, Mswada huu unaangalia usalama wa baadhi ya watumiaji wa mahala tofauti tofauti Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, haswa ukiangalia Mswada wenyewe, unahimiza kuweko kwa baadhi ya vitu ambavyo vinaweza kutusaidia kupunguza maswala ya ajali. Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, Mswada huu ukiwa utapita - na ni matumaini yangu kwamba utapita ...
view