Naomi Shaban

Parties & Coalitions

Full name

Naomi Namsi Shaban

Born

9th September 1963

Post

P.O. Box 73855 - 00200 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

namsi-ns@yahoo.com

Telephone

0722814412

Telephone

0202215245

All parliamentary appearances

Entries 91 to 100 of 1513.

  • 20 Nov 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I also congratulate Hon. Kamket for a well-thought-out Bill because we need to bring some hygiene into how the funds for equalisation are being utilised. I just need to point out that the Commission on Revenue Allocation (CRA) is already making blunders. That money has not made any impact because the intention of the Constitution was to make sure that the areas which were left behind have come up so that they can be at par with others which are well developed. view
  • 20 Nov 2019 in National Assembly: I beg to support. view
  • 14 Nov 2019 in National Assembly: Asante sana Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Mimi nami nataka kuchukua fursa hii kuunga mkono kuwa kanuni hizi za kusimamia view
  • 14 Nov 2019 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 14 Nov 2019 in National Assembly: masuala ya Tume ya Wafanyikazi waUmma hapa nchini zitupiliwe mbali kwa sababu hawakufuata mwafaka ambao unatakikana. Vipengele katika Katiba yetu vinaelezea wazi umuhimu wa kuhusisha umma kwenye masuala yote ambayo yanahusu wananchi na haswa masuala ya huduma kwa wananchi. view
  • 14 Nov 2019 in National Assembly: Ukweli ni kwamba saa nyingine utakuta wafanyikazi wa umma kwenye Serikali wanafanya kama utani kuwa wananchi hawatakikani kuhusishwa. Hivyo basi Kamati hii imefanya kazi nzuri ya kuhakikisha kuwa suala hili linatupiliwa mbali. Vile vile, ningependa kusema nimekuwa na wasiwasi. Tume hii ya kusimamia wafanyikazi wa umma inatakikana kusimamia wafanyikazi wote kwa ujumla. Tunajua kuna ngazi mbili hapa nchini. Kuna ngazi ya juu ambayo ni ya kitaifa na ngazi ya pili ni ile ya ugatuzi. Lakini wameshindwa kuangalia jinsi wataweza kuhakikisha kuwa wafanyikazi wa umma wote wanaangaliwa kupitia tume hii ambayo kwa kweli ni ya kitaifa. Hayo ndiyo masikitiko yangu makubwa ... view
  • 14 Nov 2019 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii ili nami pia nizungumzie suala hili kuhusu Hazina ya Vyama vya Kisiasa. Yangu kwanza ni kutoa shukrani kwa Kamati hii kwa kazi waliyofanya kuhakikisha kuwa mambo ya mtu mmoja kukaa mahali na kufanya uamuzi wa kuwa yeye atakuwa umma na kufanya uamuzi akiwa peke yake haiwezekani. Wabunge wote hapa nchini tumechaguliwa kuja kuhakikisha kuwa wananchi na hasa umma wanapata haki na tunalinda haki zao kupitia sheria zilivyo. Hivyo basi nakubaliana na Kamati kwamba Msajili Mkuu wa Vyama vya Kisiasa aweze kufuata sheria vile ilivyo na asiwe mtu anayefikiria kuwa ... view
  • 8 Oct 2019 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ili niongeze sauti yangu na kuwatia moyo wanakamati kwa kazi hii ambayo wameifanya. Suala hili la wafanyikazi kwenda nchi za nje au ng’ambo limeleta utatanishi hapa nchini. view
  • 8 Oct 2019 in National Assembly: Kwanza, wafanyikazi wengi wanaokwenda nchi za nje wanakwenda kwa makusudi ya kupata kazi. Lakini njia wanayotumia sio mwafaka ambayo Serikali yetu ya Kenya na serikali hizo za nje zinaweza kufuatilia kuangalia na kuhakikisha kuwa watu hawa wamefika kule kwenda kufanya kazi. Kwa sababu wametoka nchini kwa njia ambayo sio halali, wakiwa kule nje, wanajificha sana. Hata wakiwa na matatizo, wanaogopa kwenda kwenye Ubalozi wetu kueleza matatizo yao. Vile vile, utakuta kuwa wanaotaka kulalamika majina yao hayako kwenye maeneo walikoorodheshwa. Hivyo basi, watu huvumilia matatizo waliyonayo. Kamati ilienda ikakuta kuwa wanaokwenda bila kutangaza wanakokwenda na bila kutafuta njia mwafaka inayofaa ya ... view
  • 8 Oct 2019 in National Assembly: Ingekua vizuri nafasi ambazo ziko kule nje ziwekwe wazi na wale mawakala ama wanaosimamia upande wa kutafuta wafanyikazi wawe watu ambao Serikali yetu inawafahamu vizuri. Inafaa wawe wamesajiliwa hapa na kule. Hivyo basi mtu akitoka hapa akiwa amepitia kwa mawakala, itakuwa rahisi upande ule mwengine kujua kuwa mtu ambaye amechukuliwa na kupatiwa nafasi amepitia wakala fulani. Jambo hili lina utatanishi na matatizo. Ukweli ni kwamba watu wanaofanya kazi kule nje, na haswa Wakenya, wameteseka. Wengine wameteswa mpaka wakapoteza maisha yao. Wanavumilia wakiteseka kwa sababu hawawezi kusema wanajua hawakuenda kwa njia zinazofaa. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus