All parliamentary appearances
Entries 101 to 110 of 1513.
-
8 Oct 2019 in National Assembly:
Mara nyingi upande wangu wa Taveta, nimewakanya vijana wengi wanaotaka kuenda kufanya kazi nje kwa njia zisizo sawa. Mara nyingi wakifika kule wakianza kupata shida, tena wananipigia simu wakiniambia niliyowakanya yanatokea. Hivyo basi, inakuwa shida sana kumsaidia mtu akiwa mbali. Waswahili wanasema fimbo ya mbali haiui nyoka. Hivyo basi inakua shida kwetu sisi kuwasaidia wakiwa katika nchi za kigeni. Lakini kiserikali na kisheria, na haswa Wizara inayosimamia masuala ya Wafanyikazi na Wizara ya Nchi za Kigeni, wanyooshe barabara ili wanaosafiri kwenda nje waende kwa njia inayofaa na mwafaka. Mawakala wanoshgulikia masuala haya wawe wamesajaliwa ndio iwe rahisi watu kujua mahali ...
view
-
8 Oct 2019 in National Assembly:
Pia, Kamati hii ilipokwenda kule ilikuwa na shida. Haingekutana na wale wameenda kule kupitia njia zisizo halali. Wakijua Ubalozi umehusishwa, wanakuwa na uwoga. Basi, swali ambalo tunabaki nalo ni kuwa, je, tutabana vipi njia zile zinazotumika ambazo si halali?Naipongeza Kamati. Imejaribu lakini katika masuala haya, ni lazima Wizara ya Wafanyikazi na Wizara ya Nchi za Kigeni ziangalie zaidi kwa undani jambo hili ili tufunge pahali panapotatiza.
view
-
8 Oct 2019 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Spika wa Muda.
view
-
2 Oct 2019 in National Assembly:
Thank you very much, Hon. Temporary Deputy Speaker. I want to add my voice to this Motion and also thank my sister, Hon. Mishi Mboko, for bringing up this issue which has bothered many Kenyans. We are losing lives without caring that Kenyans were born in this country and they have a right to live here and a right to security.
view
-
2 Oct 2019 in National Assembly:
I want to take this opportunity to send my heartfelt condolences and those of the people of Taveta to the family of Ms. Mariam and Ms. Amanda for the unnecessary loss of these lives. We lost two lives in Taveta in Lake Chala in this same week. There is a gentleman, Mr. Agostinho Karawa, who was buried last Saturday. Another young man in his 20’s, Mr. Benjamin Marunde, was buried today after losing his life in Lake Chala. There are questions begging for answers. First and foremost, our Government is supposed to have a National Disaster Operation Centre. Well, I ...
view
-
2 Oct 2019 in National Assembly:
Secondly, the Kenya Navy officers are supposed to worry about security in our ocean. If this is not a security issue, then what is it? These Kenya Navy officers were there when the accident happened. If it was one of their family members who drowned, how would they have reacted? Would they have pretended that they were waiting for some command from somewhere or would they have taken the necessary action? It is so sad especially when I look back at the Garissa University terror attack where there were a lot of deaths. Kenya Army officers were just there watching ...
view
-
2 Oct 2019 in National Assembly:
The Likoni Channel transports millions of people in a year. If it transports so many people, how much does the Kenya Ferry Services require to buy the speed boats which should be there on standby? Any ferry which is carrying people should be escorted. In the event that there is anything, the divers should be ready to come in and assist. It saddens me that we are watching as Kenyans die. You look at young families being wasted and I only pray to God every day that the ferry carrying all those thousands of people does not at any given ...
view
-
2 Oct 2019 in National Assembly:
As we sit here in the 12th Parliament, our Budget and Appropriations Committee must consider it because if the Ministry of Transport and KFS do not think they should have money to be able to get those people’s…
view
-
24 Jul 2019 in National Assembly:
Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii nizungumze juu ya Ripoti hii ambayo imeletwa na Kamati ya kusimamia Masuala ya Wanajeshi pamoja na Masuala ya Mambo ya Nje. Suala la ardhi ni jambo ambalo huleta hisia mbaya. Ni jambo ambalo limefanya watu kupigana ndugu kwa ndugu, kuumizana, kuuana na umwagikaji wa damu kwa sababu wenyeji wa kawaida wasipohusishwa vizuri, bila shaka ni jambo ambalo linaweza kuleta utata mkubwa sana. Nikiangalia Ripoti hii, Kamati imefanya kazi lakini sioni kama wameimaliza kazi yenyewe vizuri. Wangehusisha viongozi wote kama viongozi wa kaunti na wa Bunge ili waafikiane na wananchi ...
view
-
24 Jul 2019 in National Assembly:
570 peke yake mbali wote wa 5,000 wamehusishwa. Kufikia hapo, wangekuwa wamepata habari kamili kuwa aliyepata ardhi hii na anayetajwa sana hapa kushinda wenzake aliipata vipi, na kama aliipata kwa hali ya usawa ama kwa kununua kutoka kwa majirani zake. Basi iwe watu wamekubaliana kweli labda wao ndio walikosea walipomuuzia wakati aliuliza kupata vipande hivi vya ardhi.
view