All parliamentary appearances
Entries 991 to 1000 of 1513.
-
4 Oct 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, that is exactly what I had said earlier on; that we are now going to cover the whole country. Despite the minimum numbers, at least, we should have in the whole country not less than 150 persons from each of the constituencies, otherwise, being known as “even districts”.
view
-
4 Oct 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, as a matter of fact, you will have over 200 beneficiaries and I do not know how the hon. Member is calculating it. However, I am hoping to work very closely with the Budget Committee and the Committee on Social Welfare in Parliament, which has really done a tremendous job. That is why we had the increment of Kshs500 million. We are hoping that in the next financial year we should have, at least, another Kshs1 billion. If we have that, then certainly we will have up to 500 beneficiaries in all the constituencies.
view
-
2 Oct 2012 in National Assembly:
Asante sana Mh. Naibu Spika wa Muda. Ninataka kujiunga na wenzangu kuzungumza juu ya Tume hii ya Uwiano na Mariadhano ya kitaifa ambayo imepewa muda wa kuendelea na kazi, hasa makomishna walioko. Makomishna wako na kazi kubwa ya kufanya. Makomishna hawa wanafahamu ya kwamba kazi yao ni kuleta jamii za Wakenya pamjoa bila wao kukosana ovyo ovyo na kuzozana, haswa wakati huu tuko karibu kuenda kwa uchaguzi. Ninataka kumpongeza Mheshimiwa Baiya na Kamati yake kwa kazi nzuri waliofanya, na wenzangu Wabunge ambao walizungumzia swala hili. Jambo ambalo ningependa kuwatajia makomishna hawa ni kwamba, wasisahau ya kwamba mwanasiasa yeyote anakula chakula ...
view
-
25 Sep 2012 in National Assembly:
Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Nasimama hapa kuunga mkono Hoja hii shingo upande. Ukiangalia orodha hii ya majina, utaona ya kwamba Bw. Murshid aliomba kuwa mwenyekiti, lakini hakupendekezwa kama mwenyekiti bali kama komishina. Je, ni kwa nini jina la Jean Kamau ambaye pia ni mwanasheria halikuteuliwa kama mojawapo wa makomishina katika orodha hii? Ni kwa nini mhe. Rais na mhe. Waziri Mkuu hawakuona haja ya kulijumuisha jina lake katika orodha hii? Haya ni makosa na maonevu kwa akina mama. Halikuwa jambo la busara kufungia nje la Jean Kamau kwa sababu yeye angefanya kazi kama wanaume ambao wamependekezwa katika ...
view
-
5 Sep 2012 in National Assembly:
Bi. Naibu Spika wa Muda, ahsante sana kwa kunipa nafasi hii ya kuzungumzia suala hili la uchaguzi. Marekebisho haya yanakuja katika muda sawa wa kurekebisha zile sheria ambazo tulikuwa tumepitisha. Hata hivyo, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ina jukumu kubwa sana kututoa katika sifa mbaya tuliyokuwa nayo kutoka 2007 hadi mwanzo wa 2008. Janga hilo lililopata Kenya lilikuwa kubwa sana. Tukumbuke kwamba siyo jukumu lao peke yao kufanya kazi hii ikiwa sisi pia hatutaweza kuwapatia uwezo na vile vile kufanya kazi nao. Tume hii Huru ya Uchaguzi na Mipaka ina jukumu kubwa sana. Zaidi hayo, inawapasa wakumbuke kwamba maisha ...
view
-
15 Aug 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I will pass on the message to my colleague---
view
-
15 Aug 2012 in National Assembly:
I will pass on the message to my colleague so that the earliest this can come will be Wednesday.
view
-
15 Aug 2012 in National Assembly:
Okay, Sir.
view
-
15 Aug 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I will need to get hold of my colleague who has been unwell.
view
-
15 Aug 2012 in National Assembly:
Yes, Mr. Speaker, Sir. I will do so.
view