Naomi Shaban

Parties & Coalitions

Full name

Naomi Namsi Shaban

Born

9th September 1963

Post

P.O. Box 73855 - 00200 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

namsi-ns@yahoo.com

Telephone

0722814412

Telephone

0202215245

All parliamentary appearances

Entries 1021 to 1030 of 1513.

  • 21 Dec 2011 in National Assembly: Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii ili nitoe maoni yangu kuhusu Hoja hii. Kwanza, ninaunga mkono Hoja hii kikamilifu. view
  • 21 Dec 2011 in National Assembly: Siasa za kuvutana hazina nafasi katika Kenya ya sasa. Hakuna haja ya sisi kubishana na kusema sisi ni bingwa kuliko wale na kadhalika. Tunahitaji siasa za kujenga na kuleta maendeleo katika nchi hii. Hakuna aliyeshabiki au bingwa kuliko mwingine katika Serikali hii. Wakenya wametupa nafasi hii ili tuweze kuwatumikia tukiwa pamoja. Tunashirikiana pamoja hapa Bungeni na Serikalini ili tuweze kutatua matatizo mengi yanayowakumba wananchi wetu. Kuna baadhi ya viongozi wanaopenda kushabikia maswala ambayo hawayaelewi vilivyo. Sisi kama waheshimiwa Wabunge tunahitajika kufanya kazi pamoja ili wananchi wetu wapate afueni ya shida zinazowakumba maishani. Wakati umefika kwa sisi kwenda kuungana na wananchi ... view

  • 21 Dec 2011 in National Assembly: Bw. Spika, siasa za ubingwa na ushabiki, haswa kuzungumzia maswala ya biashara--- Kila Mbunge na mwananchi ana haki ya kufanya biashara kivyake. Wengi wetu tunafanya biashara lakini hatutangazi tunafanya biashara za aina gani. Mara nyingi tumesikia kwamba Waheshimiwa Wabunge hapa wanafanya biashara. Biashara za hakika zinafanywa wazi wazi. Tunafanya biashara za kila aina, zingine za halali na zingine za haramu. view

  • 21 Dec 2011 in National Assembly: Bw. Spika, huo ni ukweli wa mambo. Ukweli wa mambo unauma roho. Jambo la kusikitisha ni kuwa tunataka kuchukua swala hili--- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus