All parliamentary appearances
Entries 1011 to 1020 of 1513.
-
14 Mar 2012 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, there is really a lot of interference in the way NACADA is run, simply because NACADA was founded on just a legal notice and not on an Act of Parliament. So, the proposed authority needs to have a firm foundation where as people work, they know that they have the full mandate to be able to work and carry out very difficult tasks.
view
-
14 Mar 2012 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I just want to point out that the youth in this country are actually being destroyed. If you looked at figures and the prevalence of the use of drugs in this country, it is actually worse in the Coast Province. Of course, it affects quite a number of provinces in this country, but it is very bad in the Coast Province.
view
-
14 Mar 2012 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, our youth are getting children now with genetic malformations, simply because we have young ladies and young men who are partaking of drugs very seriously. The youth are being wasted because even after they have done their O-level course, they find themselves desperate and without anything to do, they end up getting involved in taking drugs. Most of the youth are reacting this way and behaving this way because of peer pressure. Our youth, who happen to be quite desperate because of unemployment, find themselves hanging around with people who partake of drugs, and they ...
view
-
14 Mar 2012 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I beg to support.
view
-
23 Feb 2012 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, ahsante kwa kunipatia nafasi ya kuunga mkono Hoja hii. Kama walivyozungumza wenzangu ni kwamba maswala ya ardhi ni maswala nyeti sana na haswa kwa Wakenya kwa ujumla. Sisi tunaotoka Taveta na Pwani kwa ujumla, tunatarajia ya kwamba hili Bunge linaloheshimika yaani Bunge la Kumi, tutaweza kuzungumzia maswala ya ardhi na hasa sheria za kutulinda kwenye maswala ya ardhi ili tuweze kuhakikisha kuwa Wakenya watatoka kwenye yale matatizo waliokuwa nayo kwa sababu ya shida nyingi zilizotuweka kwa sababu ya sheria za kikoloni. Kwa kawaida, sisi kwa sababu ya uraia wetu na hasa kama Wakenya, tumeshazoea ya kwamba mara ...
view
-
21 Feb 2012 in National Assembly:
Ahsante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ya kuzungumzia mjadala huu kuhusu serikali za ugatuzi.
view
-
21 Feb 2012 in National Assembly:
Kazi ambayo imefanywa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Serikali za Mitaa ni nzuri sana, haswa ile kazi aliyofanya kupitia kamati aliyoichagua, ambayo ilizunguka kote nchini na kusikiliza maoni ya wananchi. Tunapoanza shughuli ya serikali ya ugatuzi, na haswa tunapozingatia suala la maeneo ambapo kura zitapiwa wale ambao watakuwa wenye kuwakilisha watu kwenye serikali za ugatuzi, kuna jambo la muhimu ambalo ni lazima tulijadili. Kuna maeneo ya kaunti ambayo ni madogo, na ambayo hayana watu wengi, na haswa sana ukizingatia kwamba wakazi wa kaunti hizo wanatakiwa kupatiwa nafasi za kutosha kama wale wenzao ambao ni wengi. Ni matumaini yangu ...
view
-
21 Dec 2011 in National Assembly:
Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii ili nitoe maoni yangu kuhusu Hoja hii. Kwanza, ninaunga mkono Hoja hii kikamilifu.
view
-
21 Dec 2011 in National Assembly:
Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii ili nitoe maoni yangu kuhusu Hoja hii. Kwanza, ninaunga mkono Hoja hii kikamilifu.
view
-
21 Dec 2011 in National Assembly:
Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii ili nitoe maoni yangu kuhusu Hoja hii. Kwanza, ninaunga mkono Hoja hii kikamilifu.
view