All parliamentary appearances
Entries 1091 to 1100 of 1513.
-
20 Dec 2011 in National Assembly:
Yeah, thank you. Please inform me.
view
-
20 Dec 2011 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, it is very important for us to know who we are dealing with. We have had reason here to sit down and listen to different people being condemned.
view
-
20 Dec 2011 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, it is very important for us to know who we are dealing with. We have had reason here to sit down and listen to different people being condemned.
view
-
20 Dec 2011 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I beg to oppose.
view
-
20 Dec 2011 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I beg to oppose.
view
-
1 Dec 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, naomba kujibu.
view
-
1 Dec 2011 in National Assembly:
(a) Orodha ya walengwa ndio hiyo hapo.
view
-
1 Dec 2011 in National Assembly:
(b) La hasha. Walengwa wote wako kwenye orodha na wale ambao Daktari Nuh alitaja ni watu watatu tu ambao hawapo. Lakini wale ambao hawapo walikuwa si walengwa.
view
-
1 Dec 2011 in National Assembly:
(c) Wale 600 wote walionufaika katika mwaka wa kifedha uliopita wanaendelea kuwa kwenye orodha ya kulipwa kupitia posta ya mwezi huu wa Disemba. Itakapokamilika, orodha hiyo,watawezwa kulipwa kupitia kwa posta.
view
-
1 Dec 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, watu walioorodheshwa wakati wa usajili wa kwanza katika kata ya Madogo walikuwa 213, lakini waliolipwa kutegemea pesa ambazo zilipatikana walikuwa 150. Katika Bura, walioandikishwa walikuwa 314, katika kata hiyo waliolipwa walikuwa 213. Ningetaka kutaja kwamba ijapokuwa watu wote Bura waliosajiliwa mara ya kwanza walikuwa 854; pesa zilizopatikana---
view