All parliamentary appearances
Entries 1281 to 1290 of 1513.
-
25 Jun 2009 in National Assembly:
Asante Sana, mhe. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii, ili nizungumze juu ya Hoja hii. Wakati huu ni muhimu kwetu sisi kwenda kujiunga na kufanya kazi pamoja na watu wetu.
view
-
25 Jun 2009 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika, Wakenya wana matatizo mengi. Mhe. Kaimu Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha, aliposoma Bajeti yake hivi majuzi, alisema pesa nyingi zipelekwe mashinani. Ninaunga mkono Hoja hii, ili tuweze kwenda kuungana na watu wetu. Itakuwa vyema kama tutawaelimisha jinsi ya kutumia pesa hizo huko mashinani. Kuna pesa nyingi ambazo zimetolewa na Serikali kupitia kwa mpango wa Kazi kwa Vijana. Wakati huu utatufaa sisi sana kama tutashirikiana na wafanyakazi wa Serikali, ili tutumie pesa hizi vizuri. Pesa hizi zimetolewa kwa kupitia Wizara nyingi kama vile Wizara inayohusika na maswala ya vijana, Maji, Barabara na Wizara ya Misitu na Wanyama ...
view
-
25 Jun 2009 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, kuna matatizo mengi hapa nchini. Kwa mfano, tumekuwa na upungufu mkuuwa wa mvua hapa nchini. Mimea mingi mashambani imeharibika ingali mibichi. Kwa hivyo, ni vizuri waheshimiwa Wabunge watumie pesa za maeneo Bungeni (CDF) kwa njia ambazo zitawasaidia wananchi wetu. Itakuwa heri ikiwa tutatumia pesa hizo tukishirikiana na Serikali kuanzisha miradi ya kunyunyunyizia mashamba yetu maji. Jambo hili si rahisi kwa Serikali. Ni lazima sisi Wabunge na Serikali kufanya kazi pamoja, ili tuwawezeshe wananchi wetu kupata chakula. Tunaweza pia kutengeneza madimbwi madogo madogo ya maji ili wakulima waweze kupata maji. Tatizo lingine ni kuhusu ugonjwa wa kipindupindu kwa ...
view
-
25 Jun 2009 in National Assembly:
Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii. Ninawatakia kila kheri waheshimiwa Wabunge wiki hizo tatu.
view
-
3 Jun 2009 in National Assembly:
Yes, Mr. Temporary Deputy Speaker.
view
-
27 May 2009 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I beg to reply.
view
-
27 May 2009 in National Assembly:
(a) As a result of poor long rains and inadequate short rains in some parts of the country, the food situation for vulnerable people will be negatively affected. Consequently, the Ministry has put in place several measures to ensure that the affected population gets immediate assistance. In Mandera East Constituency, the measures include:-
view
-
27 May 2009 in National Assembly:
(i) Increase of beneficiary numbers in the ongoing Emergency Operations Programme (EMOP) to ensure that needy people receive the required assistance. The number has been increased from the previous 117,791 to the current 123,510. Since Mandera East is part of the larger Mandera District, it will benefit from this increment. I have attached a table to the written reply.
view
-
27 May 2009 in National Assembly:
In addition, the World Food Programme (WFP) and its partners will introduce protection rations to help malnourished children in the urban areas starting with Mandera Town by the end of this month. About 2,000 people are expected to benefit from this programme.
view
-
27 May 2009 in National Assembly:
(ii) Apart from the EMOP, there is also the school-feeding programme that is benefiting 72,441 school children in the larger Mandera District. In Mander East District, the programme is benefiting 29,639 school children.
view