Naomi Shaban

Parties & Coalitions

Full name

Naomi Namsi Shaban

Born

9th September 1963

Post

P.O. Box 73855 - 00200 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

namsi-ns@yahoo.com

Telephone

0722814412

Telephone

0202215245

All parliamentary appearances

Entries 1321 to 1330 of 1513.

  • 20 May 2009 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I believe that we represent our constituents here. We all know the needs of families. We may give out money for buying building materials, but someone else ends up paying school fees with that money. They may also feel that buying clothing is more important than buying buildings material and they go ahead and do so. This is something beyond our control. view
  • 20 May 2009 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I will issue the Ministerial Statement on Tuesday, next week. view
  • 7 May 2009 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, asante sana kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuzungumza juu ya mjadala huu. Mimi kama mmoja wa kutoka Pwani, naona ni makosa kwa sisi kila mara Mpwani yeyote akipewa kazi tunatumia Bunge hili ili kuwasagia wengine ili wakose kazi. Sio lazima kwamba atakaye pata kazi kila mahali awe ni mpenzi wetu, ndugu yetu, rafiki wetu ama ndugu wa kisiasa. Ningependa kuunga mkono kazi iliyofanywa na Kamati hii ambayo imechukuwa muda wao kutafuta watu ambao wanafaa kufanya kazi. Tunaomba kuwa watu hao waweze kufanya kazi kikamilifu maanake mwaka 2007, matatizo tuliyokuwa nayo ni kwa sababu ya ... view
  • 6 May 2009 in National Assembly: Ahsante sana Madamu Naibu Spika wa Muda. Kwanza, ningependa kumshukuru Makamu wa Rais kwa kunipa nafasi hii kwa ukarimu wake. Ahsante sana. view
  • 6 May 2009 in National Assembly: Swala la waliofurushwa makwao, kulingana na Hotuba tuliyopatiwa na Rais Mwai Kibaki wakati wa ufunguzi wa Bunge hili, nina furaha kuwa Serikali imechukua mstari wa mbele. Hata Umoja wa Mataifa umeamini kwamba Serikali ya Kenya imeweza kufanya kazi kiasi fulani mpaka saa hizi. view
  • 6 May 2009 in National Assembly: Bi Naibu Spika wa Muda, Serikali imeendelea kutenga pesa za kuwapatia makao mapya wale waliofurushwa makwao wakati kulipokuwa na matatizo. Ninampongeza Rais kwa kulizungumzia jambo hii kwa kirefu sana. view
  • 6 May 2009 in National Assembly: Pili, maswala ya kutegemea mvua ili tuweze kupata chakula; sasa hivi Serikali imechukuwa jukumu na kusema kuwa tuwachane na mambo ya kutegemea mvua kwa view
  • 23 Apr 2009 in National Assembly: Ahsante sana, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii ili nizungumze juu ya jambo hili ambalo linawakera Wakenya sana. Siku hii ni ya pili. Tumekaa hapa na Bunge hili la Kumi limekuwa ni la wanasarakasi badala ya kufanya kazi iliyotuleta hapa.Tumekuwa tukifanya shughuli ambazo ni za kisiasa badala ya kufanya shughuli za Bunge hili. Bw. Spika, mwaka jana baada ya uchaguzi, Wakenya waliteseka sana! Wakenya walifurushwa makwao; Wakenya wameuana na Wakenya wengine wamebaki kiholela- holela, hawajui kama wao ni Wakenya au sio Wakenya! Bw. Spika, wakati huo huo, Wakenya walitulazimisha kukaa kwenye meza moja ili tuwe na Serikali ya mseto. Sasa ... view
  • 24 Feb 2009 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, I stand to support the Motion for Adjournment. I think the Tenth Parliament has been working continuously and has had only a very short break, and it is time for us to go back to the grassroots. I am asking my colleagues to use this opportunity to preach peace and reconciliation amongst Kenyans. We have undergone a lot of problems. view
  • 24 Feb 2009 in National Assembly: Ten million Kenyans are on the verge of starvation, and I am hoping that at this particular time, we will all go and look at our Constituencies Development Fund (CDF) budgets, and see how best we can start changing our areas, so that we can have food security in our areas. I believe that one way is by hon. Members working through their Constituency Development Committees (CDCs) to make sure that a certain percentage of money is allocated towards irrigation and construction of dams. This is something which is doable, and it is possible for us to do that as ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus