Naomi Shaban

Parties & Coalitions

Full name

Naomi Namsi Shaban

Born

9th September 1963

Post

P.O. Box 73855 - 00200 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

namsi-ns@yahoo.com

Telephone

0722814412

Telephone

0202215245

All parliamentary appearances

Entries 181 to 190 of 1513.

  • 3 Jul 2018 in National Assembly: (Taveta, JP) view
  • 27 Jun 2018 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Ninaunga mkono Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi ya kwamba Kipenglele cha 6 kiondolewe kwenye Ripoti hii kwa sababu Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi ijapokuwa kwa upande wao walijaribu kupigana na suala hili, hawakuwa na nguvu ya kusimamisha pesa sizipeanwe katika njia ile iliyotumika. Vile vile, sababu yangu nyingine ni kuwa suala hili la Tume ya Maadili na Kupambana dhidhi ya Ufisadi hapa nchini tumeibaidilisha mara nyingi kwa sababu hatujafurahia kazi ambayo imekuwa ikiendelea. Lakini Tume ya sasa imejaribu. Watu wakijaribu, tusiwapatie adhabu kwa kujaribu kazi ambayo wamefanya. Kwa hivyo, wakati tanapoendelea kuzungumzia ... view
  • 27 Jun 2018 in National Assembly: Asante sana, naunga mkono. view
  • 20 Jun 2018 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Swala la ugavi wa pesa kwa sababu ya maswala ya ugatuzi linaguza Wakenya wote kwa sababu maana ya ugatuzi ni kupeleka maendeleo mashinani. Kazi inafanyika lakini kuna zile kaunti ambazo zimeweza kutumia hizo hera kisawasawa. Kuna zile ambazo zimeamua kufuja pesa. Isitoshe, pesa zile zinazochukuliwa kutoka kwa ushuru wa wafanyi biashara pamoja na zile zinatakikana kutumika kuwasaidia wananchi pale mashinani, zinachukuliwa na kufujwa vibaya sana. Kuna mchezo unaoendelea na sisi tunasema kutoka hili Bunge la kumi na mbili kwamba utukutu huu lazima ukome na pesa ambazo zinaenda kwa ugatuzi ziweze kutumika vizuri. Pia ... view
  • 13 Jun 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. Concerning the Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) in this country, most of the times, even when they have really wanted to do some work, they have had hiccups because of the meagre funds that they have been given in budgetary allocations. However, when they are given funds, they should be able to work very hard because corruption has become an issue in this country. We would like to see the funds being utilised properly. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be ... view
  • 13 Jun 2018 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairman, considering the work the DPP is doing and also the teething problems that they encountered, it is clear that they were not given enough funds previously to employ enough prosecutors. I believe that whatever they have been given now… We have seen that they have started working very seriously. However, they will need to employ more people. I wish they would have given a little bit more, but for the time The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 13 Jun 2018 in National Assembly: being they need to utilise the funds we have given them properly so that they can be in a position to prosecute cases. We are beginning to see cases which are watertight. Kenyans are now taking their responsibilities seriously because the DPP is working hard. view
  • 12 Jun 2018 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I beg to report that the Committee of Supply has considered the Budget Estimates for the Financial Year 2018/2019 up to Vote 1096 and approved the same with amendments and seek leave to sit again. view
  • 6 Jun 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. It is the mandate of Parliament to make sure that the Budget of this country is realised once the Executive has made its suggestions, on how they want the outlook of that Budget to be. I want to commend the Budget and Appropriations Committee for putting in extra hours and working very hard to make sure that, despite the constraints, they have tried to redistribute what we thought was necessary and more so, in areas where they went for public hearings. I have seen them make some provisions for those areas to cater for ... view
  • 5 Jun 2018 in National Assembly: Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii niongeze sauti yangu kama wenzangu walio tangulia kuzungumza juu ya suala la Hotuba ya Mhe. Rais aliyohutubu hapa Bungeni na nchi nzima. Ukweli ni kwamba suala hilo lipo ndani ya Katiba. Alikuja kuhakikisha kuwa amewakilisha Hotuba hiyo ambayo ni muhimu kulingana na Katiba yetu. Tunatarajia kila wakati tukifungua Bunge jipya, Mhe.Raisa atahutubia nchi. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus