Naomi Shaban

Parties & Coalitions

Full name

Naomi Namsi Shaban

Born

9th September 1963

Post

P.O. Box 73855 - 00200 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

namsi-ns@yahoo.com

Telephone

0722814412

Telephone

0202215245

All parliamentary appearances

Entries 261 to 270 of 1513.

  • 14 Jun 2017 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Vyombo hivi vimetengenezwa na binadamu na saa nyingine vina matatizo. Pia mimi naunga mkono Ripoti hii. view
  • 14 Jun 2017 in National Assembly: Mhe. Naibu wa Spika wa Muda, asante sana kwa kunipatia nafasi hii. Ningependa kusema kuwa Mwenyekiti wa Kamati hii ya kukagua kazi za Serikali, haswa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 14 Jun 2017 in National Assembly: vile Serikali imetumia pesa, na kama pesa zimefujwa ama zimetumika sawasawa, amefanya kazi nzuri. Mhe. Keynan na wenzake wamefanya kazi nzuri. Chuo hiki ni cha muhimu sana. Lakini juu ya hapo, ni jambo la muhimu kuwa Wakenya wafahamu kuwa haiwezekani kuwa tunajenga chuo miaka nenda miaka rudi na hakiishi. Kama chuo kilichorwa na mipangilio ilikuwa kuwa awamu ya kwanza ijengwe kwa kutumia pesa taslimu karibu bilioni mbili, basi wangekuwa wamemalizia awamu hiyo ya kwanza. Halafu, kama kuna chochote cha kuongezewa, kiongezewe baadaye. Lakini kwa sasa hivi, miaka imesonga mbele. Hata reli kutoka Mombasa hadi Nairobi ilijengwa kwa miaka mitatu. Ulimwengu ... view
  • 6 Jun 2017 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Mengi yamesemwa kuhusu mabadiliko kwenye Katiba ya Kenya kuhusu suala la viti vya Bunge la Taifa, Seneti, pamoja na mabunge ya kaunti. Ukweli ni kwamba, Wakenya bado wana tatizo la kuchagua akina mama, walemavu na vijana. Mila na desturi za Wakenya ni kuwa kuna viti vinafaa jinsia ya waume na vingine vya sisi wajinsia ya kike tunaagaliwa kijadi katika maeneo yetu. Lakini inawezekana akina mama wanachaguliwa kwa sababu nimechaguliwa mara ya tatu sasa. Inawezekana kuwa si mimi peke yangu. Kuna wengine pia ambao wamechaguliwa hapo mbeleni kama dada yangu Millie Mabona, Martha Karua, ... view
  • 6 Jun 2017 in National Assembly: Kipengele cha 90(7) na (8) kinazungumuzia umuhimu wa kuwa na akina mama na hata kikaweka makusudio ya kuwapatia viti ambavyo watagombea wenyewe kwa wenyewe ili tuweze kuongeza idadi yao kwa viti vya uchaguzi. Lakini vile vile, tukiangalia Kipengele cha 81 kinazungumizia umuhimu wa kuwa kwenye Bunge la Taifa na za bunge za kaunti, watu wa jinsia moja wasipite thuluthi mbili ya jinsia ili thuluthi ya tatu iweze kupatiwa wale wanyonge ambao hawawezi kupata nafasi wakati wa uchaguzi. Viti hivi ambavyo vilitengwa kwa ajili ya akina mama viliwekwa pale kwa makusudio ya kuwa watu watavitumia kwa muda wa miaka mitano na ... view
  • 6 Jun 2017 in National Assembly: Hivyo basi, bado mila na desturi zetu zimekuwa na matatizo na kwa sababu hio kuna umuhimu wa sheria hii kubadilishwa ili kuhakikisha kwamba akina mama, walemavu na vijana wanaweza kupata nafasi. Kweli, kama alivyosema Kiongozi wa Walio Wengi Bungeni, ni kweli Chama cha Jubilee kimekuwa sana kiking’ang’ania kuwa akina mama waweze kuongezeka. Nimeona pia hata upande wa National Super Alliance (NASA) kwa wakati huu, wamejaribu kuongezea idadi na kuwawezesha kina mama kuchaguliwa hata kwenye viti vikubwa. Nilikuwa Waziri wa Jinsia na nilipokuwa nikisimamia maswala ya kijinsia, nilitoa mapendekezo fulani na kuzungumza na wengi. Tulivyokuja hapa tukaanza kung’ang’ana na The electronic ... view
  • 6 Jun 2017 in National Assembly: swala hili, tulikubaliana na wenzetu wa jinsia ya kiume kuwa tusipoweza kugawanya hii, igawanywe kwa asilimia kadhaa kila wakati kwa muda unaofaa. Lakini Mswada huu haukutaja hayo. Na kwa sababu hayakutajwa, siwezi kuyazungumzia kwa sababu Mswada ulioko mbele yetu unazungumzia kuwa baada ya miaka ishirini, tuwe tumefikisha thuluthi zile ambazo zinatakikana. Lakini tunavyoangalia na kuona ni kuwa bado katika muda ule wa miaka ishirini kutakuwa bado kuna tatizo. Kuna umuhimu wa sisi kuwa na sheria ambayo itatuwezesha kurekebisha tatizo hili ili Kipengele cha 27 kwenye kurasa zinazozungumzia haki za kibinadamu kiwezeshwe kufanyika haraka iwezekanavyo. Hili ni tatizo ambalo korti imefanya ... view
  • 6 Apr 2017 in National Assembly: Thank you very much, Hon. Deputy Speaker. I wish to take this opportunity to thank all our colleagues and also ask Hon. Makali Mulu not to go away because he talked about brains. People in NASA have a problem. They have talked about D- for too The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 6 Apr 2017 in National Assembly: Thank you very much, Hon. Deputy Speaker. I wish to take this opportunity to thank all our colleagues and also ask Hon. Makali Mulu not to go away because he talked about brains. People in NASA have a problem. They have talked about D- for too The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 6 Apr 2017 in National Assembly: long that they are very confused and they think it is PhD. They have a problem to an extent that they have been literally killing each other and shooting each other unnecessarily with people who have been very supportive of them. I feel very sorry for what my brother underwent in Migori. As we go for recess, it is important for all of us to know that Kenyans will have to make a choice on who they want in the ballot come 8th August, so that people can go preach peace and stop misusing the youths. I am telling all ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus