All parliamentary appearances
Entries 511 to 520 of 1513.
-
17 Dec 2015 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
17 Dec 2015 in National Assembly:
I would also want to add my voice in congratulating and thanking my colleagues for having done a very good job in vetting Mrs. Susan N. Mochache, Mrs. Zeinab W. Hussein and Mr. Joseph Okudo. More so, I would like to thank the President for having seen it fit to have a gender department. A Principal Secretary will be in charge of that gender department and in a stand- alone Ministry which is going to be in charge of the youth and gender in our country.
view
-
17 Dec 2015 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker. Mrs. Mochache, Mrs. Zeinab and Mr. Okudo are people who are well educated. They all have Masters Degrees. Mrs. Zeinab Hussein has a Masters degree in Public Administration from Harvard University. She will do a lot as she has been in the human resource sector and she will add a lot of value to the Ministry. Equally, Mrs. Susan Mochache and Mr. Okudo will add a lot of value to the respective positions that they have been appointed. Thank you and I beg to support.
view
-
16 Dec 2015 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Spika, kwa kunipa nafasi hii ili nijiunge na wenzangu, nikiwa mmoja wa Wanachama wa Kamati ambayo iliwahoji na kuwakagua wateule wanaopewa nafasi ya kujiunga na Baraza la Mawaziri nchini Kenya. Mhe. Spika, ukweli ni kwamba Mhe. Rais Uhuru Kenyatta ameona umuhimu wa kuwapa Wakenya wengine nafasi ya kuwahudumia Wakenya katika Baraza lake la Mawaziri. Mhe. Kiunjuri alifanya kazi hapa Bungeni kwa mihula mitatu akiwa Mbunge na Naibu wa Waziri. Vile Vile, katika kisomo chake, ana shahada kadhaa. Kazi ambayo anapewa ya kusimamia masuala ya ugatuzi na mipangilio ya nchi hii, ataifanya bila wasiwasi. Mhe. Spika, kama vile ...
view
-
16 Dec 2015 in National Assembly:
Ukiangalia shahada ambayo amesomea, amesomea maswala ya sekta ile ambayo amepelekwa. Bila shaka, Charles Keter ataweza kuleta ujuzi wake kwenye Baraza la Mawaziri na kuweza kumsaidia Mhe. Rais kuweza kutekeleza maswala ambaye amempatia kutekelezea Wakenya.
view
-
16 Dec 2015 in National Assembly:
Namtakia ndugu yangu Dan Kazungu kila la heri anakokwenda kuwafanyia Wakenya kwa ujumla kazi akituachia shughuli za kisiasa. Wakati tukifanya shughuli hizi, tumeona maswala ya fitina, unafiki na kuzushiwa ili asiweze kupata kazi hii. Bila shaka, tulipoangalia masuala yale, tuliona ya kuwa Dan Kazungu ni kijana ambaye alichaguliwa na wapendwa wake wa Malindi na wamemfurahia. Wametupigia simu wakitoka Kaunti ya Kilifi haswa eneo Bunge la Malindi wakisema kuwa wamefurahia sana kuchaguliwa kwake katika Baraza la Mawaziri. Sina wasiwasi kuwa katika Wizara hii aliyopatiwa ya kusimamia masuala ya madini, ataweza kufanya kazi. Ana shahada mbalimbali za kumwezesha kufanya kazi hiyo. Kuna ...
view
-
16 Dec 2015 in National Assembly:
pamoja na masuala ya uandikishaji wa wafanyikazi wa Serikali tukufu ya Kenya. Kina mama na vijana wamengoja sana kuwa na Wizara ile ili Waziri aweze kuwafanyia kazi moja kwa moja na kuweza kuwapatia matunda ya nchi hii kama vile Wakenya wengine wanavyoishi huku nchini.
view
-
16 Dec 2015 in National Assembly:
Huyo Sicily Kariuki aliyekuwa Katibu Mkuu, bila shaka ataweza kutekeleza jukumu lile. Na kuna kijana John Mucheru ambaye pia nimeona kazi yake na vile alivyokuwa akifanya kazi kwenye masuala ya mtandao. Amefanya kazi kubwa sana na kazi ambayo amepatiwa ataweza kuitekeleza vizuri.
view
-
16 Dec 2015 in National Assembly:
Katika watu wote ambao wamepatiwa nafasi, ningependa sasa kuzungumzia suala la Daktari Mailu. Ni daktari anayejulikana Kenya nzima. Amesimamia masuala ya Hospitali ya Nairobi ambayo ameitoa kwa matatizo mpaka sasa hivi hospitali ile imepata maendeleo ya ajabu. Imejengewa kwa sababu Daktari Mailu amefanya kazi kubwa sana. Wakati Daktari Mailu alipoacha kazi katika Hospitali kuu ya Kitaifa ya Kenyatta na akaenda kufanya kazi kwa Hospitali ya Nairobi, nataka kusema kwa wale wenzetu wote waliokuwa wakifanya kazi Kenyatta, walijua tulipoteza daktari wa kihakika. Si daktari tu bali daktari mwenye bidii sana. Kwa vile ametumwa kusimamia masuala ya afya, bila shaka masuala haya…
view
-
16 Dec 2015 in National Assembly:
Mhe. Spika, hata wewe unataja masuala ya jinsia ambayo ni muhimu kwa Wakenya wote, haswa kwa vile tumepata Wizara ya kusimamia masuala ya jinsia.
view