Naomi Shaban

Parties & Coalitions

Full name

Naomi Namsi Shaban

Born

9th September 1963

Post

P.O. Box 73855 - 00200 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

namsi-ns@yahoo.com

Telephone

0722814412

Telephone

0202215245

All parliamentary appearances

Entries 811 to 820 of 1513.

  • 1 Apr 2015 in National Assembly: Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. I beg to move the following Procedural Motion:- THAT, pursuant to the provisions of Standing Order No. 30(3)(a), this House resolves to extend its sitting time today until 8.00 p.m. It is pretty obvious the Address and Report by His Excellency the President have drawn a lot of interest from the Members. From what you have been telling us about the interests that have been shown there, we need more time so that Members can participate and say what they feel about the Address by His Excellency during the joint sitting. I wish to ... view

  • 1 Apr 2015 in National Assembly: Asante sana, mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwanza, nampa pongezi Rais wetu wa Jamuhuri ya Kenya kwa Hotuba ambayo alitoa. Najiunga na wenzangu kumuunga mkono. view

  • 1 Apr 2015 in National Assembly: Suala la kuomba msamaha ni suala ambalo linataka mtu ambaye ameheshimu na kuwapenda watu wake. Kuomba kwake msamaha kulikuwa si uoga bali ni upendo na heshima kwa Wakenya wote kwa jumla. Vile vile, tunafahamu kwamba Wakenya wamekuwa wakigawanyika vikundi vikundi kulingana na makabila yao kwa sababu ya matatizo yaliyowakumba kwa miaka mingi. Hivi sasa Rais anataka kuwaweka Wakenya wote pamoja ili awahudumie wakiwa na haki kama wengine wote walio katika nchi hii. view

  • 1 Apr 2015 in National Assembly: Alivyotuambia Rais, kwamba hali ya uchumi ya nchi hii imezidi kuimarika, ni kweli. Tunawaomba wawekezaji na wajasiriamali wote waje huku nchini kufungua makampuni na pia kufanya biashara ili tuweze kuimarika zaidi na vijana wetu wapate kazi. view

  • 1 Apr 2015 in National Assembly: Vile vile, ningependa kutoa shukrani kwa Rais kwa sababu alizungumza kuhusu elimu bila malipo sio tu katika shule za msingi bali pia katika shule za upili, ambako wanafunzi wetu watapata elimu bila kulipa karo. Bei ya stima imeshuka. Kushuka kwenyewe kusiwe tu kwa muda mfupi bali Serikali ya Rais Kenyatta iendelee kuhakikisha kuwa bei ya stima inashuka ili watu wote nchini waweze kupata stima. Pia, wawekezaji nchini wawekeze kwa njia rahisi ili bei ya stima isizifanye bidhaa ambazo watakuwa wanatengeza kuwa za bei ya juu. Mhe. Naibu Spika wa Muda, si siri kuwa shughuli ya mradi wa reli unaendelea. Vile ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus