All parliamentary appearances
Entries 821 to 830 of 1513.
-
1 Apr 2015 in National Assembly:
au kama jambo la uzushi. Wanaokwenda kuchunguza masuala haya wasifanyie wananchi uzushi wowote. Mhe. Naibu Spika wa Muda, naunga mkono masuala ya Hotuba ya Rais.
view
-
1 Apr 2015 in National Assembly:
au kama jambo la uzushi. Wanaokwenda kuchunguza masuala haya wasifanyie wananchi uzushi wowote. Mhe. Naibu Spika wa Muda, naunga mkono masuala ya Hotuba ya Rais.
view
-
25 Mar 2015 in National Assembly:
Thank you, hon. Speaker. I also take this opportunity to thank the Budget and Appropriations Committee for the good work that they have done. Considering that time is of essence, I will point out two things. Whereas the Division of Revenue Bill prepares everybody for the next financial year, it is important that the county governments work towards ensuring that there is efficiency in the use of money. Funds go to the counties but it is not good to see that only 1 per cent has been used for development. We want to see as much money as possible going ...
view
-
25 Mar 2015 in National Assembly:
Ahsante sana, mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ili niweze kuunga mkono, na haswa pia kulizungumzia suala hili ambalo dada yangu mhe. Lay ameweza kulileta hapa Bungeni – kuhusu umuhimu wa kuzitafsiri sheria zetu kwa lugha ya taifa. Ninampongeza Bi. Lay kwa kuileta Hoja hii ambayo ni ya muhimu sana. Ukiangalia Kipengele cha 7(2) ambacho kinazungumzia masuala ya jamuhuri yetu ya Kenya, ni wazi kwamba Kiswahili ni lugha ya taifa. Kipengele cha 7(2) kinabainisha kwamba lugha rasmi za taifa letu ni mbili; Kiswahili na Kiingereza. Utaona kwamba Kiswahili kimetangulia Kiingereza kwenye mpangilio huo. Hii inamaanisha kwamba Kiswahili ...
view
-
25 Mar 2015 in National Assembly:
Kiswahili kimepatiwa kipa umbele kwenye jumuiya ya Afrika Mashariki pia katika Bunge la Afrika nzima ambako kinatumika rasmi. Lugha hii haikuwekwa pale kama mapambo. Inatakikana sisi tunaofahamu lugha ya Kiswahili kuwa muhimu tusukume gurudumu hili ili wengine watufuate. Lugha inatakikana iwawezeshe watu kuelewana. Lugha hutumika kuelimisha watu. Kwa hivyo tutumie Kiswahili kuwaeleza wananchi masuala yanayowahusu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
25 Mar 2015 in National Assembly:
Mara nyingi, watu wengi huwa na uoga wa kuzungumza lugha hii ya Kiswahili wakifikiria kuwa kuna yule ambaye labda ana ujuzi kushinda mwingine. Nafikiria lugha huwa inazidi kukuzwa kama watu wataitumia. Ukienda Rwanda, utakuta kuwa Kiswahili kinatumika kila mahali kwa sababu pia wao wameamua kuwa Kiswahili ni lugha yao ya taifa. Kama Rwanda ambayo ni nchi ilikuwa na matatizo inatumia lugha hii, sembuse sisi Wakenya ambao tulianzisha suala hili kitambo?
view
-
25 Mar 2015 in National Assembly:
Naibu Spika wa Muda, nafikiria bado tunahitaji mafunzo. Wengine tumekuwa Wabunge kwa muda mrefu na wengine bado tunahitaji mafunzo ili kuweza kuelewa masuala haya. Nataka kumalizia kwa kusema kuwa mimi naunga mkono Hoja hii. Serikali iweze kuhakikisha kuwa sheria zinatafsriwa katika lugha ya Kiswahili. Asante sana.
view
-
25 Mar 2015 in National Assembly:
No.
view
-
25 Mar 2015 in National Assembly:
On a point of order, hon. Temporary Deputy Chairman.
view
-
25 Mar 2015 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairman, it is a follow up to what was being discussed, and what hon. (Ms.) Nyasuna had raised and hon. Ng’ong’o gave information. Prior to that there was the issue of the purchasing and the leasing of equipment. It is important for you, hon. Temporary Deputy Chairman, to ask the Chair to put in an amendment in terms of 8(b), so that it is very clear. There is no confusion between “leasing” and “purchasing”.
view