All parliamentary appearances
Entries 71 to 80 of 1551.
-
11 Oct 2012 in National Assembly:
Hoja ya nidhamu, Bi Naibu Spika wa Muda. Niliuliza swali kwa sababu jibu nililopewa na Waziri linasema kwamba mradi huu utaanza katika kipindi cha matumizi ya mwaka huu wa Serikali. Waziri sasa anasema kwamba jibu alilonipa sio sahihi. Waziri anaweza kuwaeleza wananchi na Bunge ni kiasi gani cha pesa wametenga kuanzisha mradi huu katika kipindi cha matumizi ya mwaka huu?
view
-
11 Oct 2012 in National Assembly:
Hoja ya nidhamu, Bi Naibu Spika wa Muda.
view
-
11 Oct 2012 in National Assembly:
Hoja ya nidhamu, Bi Naibu Spika wa Muda.
view
-
11 Oct 2012 in National Assembly:
Bi Naibu Spika wa Muda, mara nyingi kama waheshimiwa Wabunge tunasema Mawaziri wengi hufika hapa Bungeni na majibu ambayo si kamilifu kwa maswali yeetu. Mfano mzuri ni jibu la Waziri huyu. Jibu hili linasema mradi huu utaanzishwa mwaka huu na utakamilika katika kipindi cha miaka miwili. Kabla ya yeye kujibu Swali hili, nilimunong’onezea kwamba akilijibu hivi itabidi aeleze Bunge ni pesa ngapi wametenga kwa mradi huu katika mwaka huu. Hii ndio maana amebadilishe jibu lake na kusema wakati huu wahandisi wanafanya michoro ya mradi huu. Ni lini Wizara hii itapata michoro hii kutoka kwa wahandisi? Michoro hii ilikamilika miaka miwili ...

Madam Temporary Deputy Speaker, because civil servants, public servants and state officers serve in different categories and you have those who are on permanent and pensionable terms and those who serve on contract basis like in the commissions, Members of Parliament and the like, it happens that the gratuity or the “take-home package” is not well defined in a law that can show how much. So, could the Assistant Minister tell us whether there is any basis for computation of gratuity for the commissioners and how much each commissioner or chairperson earns and, specifically, the Chairperson of the CIC who ...

10 Oct 2012 in National Assembly:
asked the Minister for Water and Irrigation:- (a) whether she is aware that 3000 acres of land in Bura prepared under the Economic Stimulus Programme have degenerated and also wasting away even after the Government spent enormous resources; (b) whether she is further aware that the residents are in the process of acquiring the land unprocedurally in a bid to save the Government from losing money; and, (c) why the Ministry has not facilitated the hand-over of the land to the public for optimal utilization even after repeated requests through
view
-
10 Oct 2012 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, it can come at the end of Question Time after I have looked at the copy of the written answer.
view
-
10 Oct 2012 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. Is Mr. Emilio Kathuri in order to suggest that other parts of Kenya like Bura can accept thieves, when he is asking the Assistant Minister to transfer officers who, in his own opinion, are not fit to hold office?
view