6 Aug 2019 in National Assembly:
On a point of order.
view
6 Aug 2019 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, I am perturbed by the Chairman of the Departmental Committee on Transport, Public Works and Housing, who is talking about the Government listening to the people and yet his own Committee never listened to its own Members and the general public. So, what is he talking about?
view
6 Aug 2019 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, I am perturbed by the Chairman of the Departmental Committee on Transport, Public Works and Housing, who is talking about the Government listening to the people and yet his own Committee never listened to its own Members and the general public. So, what is he talking about?
view
28 Nov 2018 in National Assembly:
Shukrani, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii kuafiki Ripoti hii ya Kamati ya uwezo na kivuli kinachowawezesha Wabunge kuongea na kutekeleza shughuli zao bila kuwekewa vikwazo na sheria. Vilevile, tukielewa kwamba sheria zote ambazo tumepewa zina ukingo au limitations, sheria inatupatia nafasi kuwa sisi twaweza kusema lolote ambalo twataka kusema lakini sheria hiyo hiyo vilevile imetuwekea ukingo ambao hatuwezi kuvuka. Kwa sauti hiyo, tumekuwa na kazi ngumu katika kuangalia suala hili ambapo tulifadhaishwa sana na ripoti ambazo zilikuwa zinaonyeshwa katika magazeti kwamba Wabunge wanachukua hongo, Bunge limeoza na masuala kama haya. Hapo ndipo tukasema, kulinganisha na uwezo ...
view
28 Nov 2018 in National Assembly:
inaonyeshwa moja kwa moja katika vyombo vya habari, mashahidi wengine pengine waliona kuna hatari na wakija pale katika Kamati wakasema: “Sisi hatukuona na hatukusikia.” Sasa kama mtu ashasema hakuona wala hakusikia, hakuna mahali ambapo tungeweza kusonga mbele. Vile vile, katika Ripoti hii, tumeona kwamba iko haja ya Bunge hili lijichukue kama Bunge la kitaifa. Ripoti ambayo inakuja hapa iangaliwe kwa mujibu wakitaifa na tusione kwamba ni Wabunge wa magharibi peke yao ndio wanafaa kuchangia mambo ya sukari na wengine wawe wanapinga. Jambo la haki liwe la haki. Katika Ripoti hii tumeona kwamba kumekuwa na bidii na juhudi za kuwa Hoja ...
view
28 Nov 2018 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninaomba dakika moja. Asante sana. Tulikuwa na kizaazaa wakati tulipoenda katika ukaguzi kule chooni. Ilisemekana Wabunge wanawake hawafungi milango yao wakienda chooni na hili ni jambo ambalo hatukuweza kulithibitisha kwa sababu hatungeweza kwenda chooni wakati wako pale. Kwa hivyo, pengine tungefanya utafiti zaidi kuhusu Wabunge akina mama ili watueleze kama wakienda chooni huwa wanaacha milango yao wazi. Hili ni tatizo kubwa sana ambalo Kamati yetu ilipata. Kwa hayo, naunga mkono Kamati hii na vile vile, Ripoti hii.
view
28 Nov 2018 in National Assembly:
On a point of information.
view
28 Nov 2018 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, I would like to inform Hon. Atandi that we did not act on the basis of newspaper cuttings but it is as a result of Members of Parliament casting aspersions on their colleagues. They are the ones who went to report to the journalists who wrote it in newspapers. You cannot accuse the Committee of having done shoddy job and acting on the basis of newspaper cuttings. We were acting on the premise that some Members of Parliament accused their colleagues.
view
25 Jul 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Deputy Speaker. First of all, I would like you to excuse me. We have just jetted in from Russia and the weather is slightly different. I am somehow affected by this hostile weather in Africa. Nevertheless, I have a duty to represent the people of Changamwe.
view
25 Jul 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Deputy Speaker for protecting me. I was simply misunderstood just because they did not allow me to continue with what I was saying. Nevertheless, Kenya has the most wonderful weather.
view