21 Oct 2014 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I am wondering the law the President broke which Sen. Wetangula can refer us to. All the President did was to observe the Constitution correctly. To my knowledge, even after Sen. Wetangula gave directive that CORD Members should not attend the sitting, however, most of them still attended and I thank them. The Senator could be running on the esteem of Okoa and that is why he is behaving the way he is behaving on the Floor.
view
21 Oct 2014 in Senate:
Asante sana, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii nichangie Hotuba ya Rais katika kikao cha pamoja cha Bunge la Seneti na Bunge la Kitaifa. Rais alifanya jambo la busara na alifuata Katiba inavyosema kwamba ikifika wakati ambapo taifa linahitaji kusikia kutoka kwake, anaweza kupitia Bunge. Bw. Naibu Spika, Rais wetu alifanya hivyo wakati ambapo nchi nzima ilikuwa imeingiwa na baridi na hofu. Kila mtu nchini alikuwa anaangalia upande upande – wale walio katika upinzani na wale walio katika mrengo wa Jubilee – wote tulikuwa tumeshikwa hofu tukiulizana je, ICC inatutakia nini? Je, inataka Rais wetu aende ICC ilhali tumemchagua ...

The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
21 Oct 2014 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, nilisema Seneta Omar ni rafiki yangu na nina hakika aliona uzalendo ulioonyeshwa na viongozi wetu. Hakuna jambo mbaya kwa kusema hivyo.

Bw. Spika wa Muda, unaweza kumkaribia mtu sana akawa rafiki yako na kuona kwamba anaweza kama unavyoweza. Sen. Omar, utanisamehe. Bw. Naibu Spika, Rais wetu ana marafiki Afrika nzima. Afrika yote ni rafiki ya Kenya. Kongamano la Afrika pia lilikuwa likiangalia vile Rais wetu atakavyoenda kule The Hague. Alisema amemteua Naibu wake ashikilie na kutupa nafasi na kuonyesha kwamba hatujageuka katika mambo tuliyosikizana na Afrika nzima. Rais angeenda kule The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate
view
21 Oct 2014 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, unaweza kumkaribia mtu sana akawa rafiki yako na kuona kwamba anaweza kama unavyoweza. Sen. Omar, utanisamehe. Bw. Naibu Spika, Rais wetu ana marafiki Afrika nzima. Afrika yote ni rafiki ya Kenya. Kongamano la Afrika pia lilikuwa likiangalia vile Rais wetu atakavyoenda kule The Hague. Alisema amemteua Naibu wake ashikilie na kutupa nafasi na kuonyesha kwamba hatujageuka katika mambo tuliyosikizana na Afrika nzima. Rais angeenda kule lakini akamwachia Naibu wake kushikilia kama Rais wa muda hapa Kenya. Rais wetu alilifanya jambo la busara sana. Mheshimiwa Rais pia alichangia pakubwa kwa kuonyesha kwamba demokrasia yetu iko juu sana. ...
view
2 Oct 2014 in Senate:
Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for giving me this chance to also contribute to this particular Motion. I believe that all Senators must have been wondering what is really troubling us, because each and every time we do something we know is part of our constitutional mandate, we find ourselves weak; just like Sen. Wamatangi was saying. Mr. Temporary Speaker, Sir, for devolution to work, the Senate must be seen to be working with the county governments and it must be very much involved in whatever is happening there given the fact that for the county governments to work ...
view
25 Sep 2014 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, regarding the issue of the statement on bank interest rates, we had responded to the statement on 14th July, 2014. After that, there were a lot of interventions on the statement. The person who had asked the statement--- The answer we got was not satisfactory even to the Committee. Up to now, the Committee is still trying to do its best to get in touch with the National Treasury so that we can conclude the issue and bring the answer to the Floor of this House. Mr. Speaker, Sir, we request for more time.
view