Richard Onyonka

Parties & Coalitions

Full name

Richard Momoima Onyonka

Born

1962

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

ronyonka@gmail.com

Email

KitutuChache@parliament.go.ke

Telephone

0722460333

Telephone

0733441503

All parliamentary appearances

Entries 111 to 120 of 818.

  • 19 Jul 2016 in National Assembly: Wale ambao wanazungumzia hili jambo kutoka nje wataleta hoja zao hapa ndani wapatie Kamati hii ndio tuzungumzie. Tukiamua wakati huu tukubaliane na Hoja ambao ndugu yetu Chepkong’a ameleta, ile kamati iko pale nje haina kazi ya kufanya. Ni lazima kuwe na uelewano kwa sababu wakati huu Wakenya wanataka tukubaliane tuache mizozo. view
  • 19 Jul 2016 in National Assembly: Kwa hivyo, nakusihi kwa hekima yako utakapoandika uamuzi wako, utuelezee kinaga ubaga ili tujaribu kuelewa vile tutatatua shida hii. view
  • 19 Jul 2016 in National Assembly: Asante, Mama Spika. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 19 Jul 2016 in National Assembly: Ningependa kumjibu Dadangu, Mheshimiwa Mbarire, kuwa ukimwita mwanamke “mama” ni kumtunukia heshima kubwa sana. Kwa hivyo, katika kutatua shida hii, ni kuhakikisha kuwa Wabunge wenzangu, kama mama Cecily Mbarire, wamefundishwa lugha ya Kiswahili ili lugha yao ijumuike na kuwa safi. view
  • 29 Jun 2016 in National Assembly: Asante, Mheshimiwa Spika kwa kunipa fursa ya kuchangia Hoja hii. Nimeangalia orodha ambayo Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha, Mipango na Biashara ameleta na sijaridhika sana. Sababu ni kuwa ukiangalia orodha yenyewe, idadi ya akina mama ambao wako hapo ingekuwa juu kidogo kulingana na vile ambavyo Katiba inasema. Jambo la pili ni kuwa Katiba yetu inasema kuwa kama kuna Wakenya lazima wapewe kazi, kabla Bunge lipitishe majina hayo, lazima tuzingatie kama Wakenya hao wametoka katika maeneo yote ya Kenya. Ukizingatia masuala yaliyo nchini wakati huu, utapata kuwa ingekuwa vizuri tuwe na uwiano, upendano na uelewano ambapo kila Mkenya anahisi kuwa yeye ... view
  • 9 Jun 2016 in National Assembly: Mhe. Spika, pia mimi ningependa kuchangia kuhusu hili jambo la kufariki kwa Mzee Ngala. Mimi kama mtoto wa mwanasiasa ambaye alikuwa anafanya kazi na mzee Ngala kwa hili Bunge, ningependa kutoa rambirambi zangu kama Mbunge wa eneo la Kitutu Chache Kusini. Tena, ningependa kutoa rambirambi zangu kutoka kwa familia yangu ya mzee Dr. Zachary Onyonka, aliyeaga. Mhe. Ngala ni mzee ambaye aliheshimika. Alifanya kazi kama mzalendo na wale Wakenya ambao wako nchi hii wanakumbuka. Vigogo wa zamani walipenda nchi hii, waliamini na walitaka iendelee mbele. Anaheshimika kwa sababu alifanya kazi kama mzalendo. Wakenya wanakumbuka wale vigogo wa zamani kama wazee ... view
  • 9 Jun 2016 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, my card is on. view
  • 9 Jun 2016 in National Assembly: I want to thank the Chair of the Budget and Appropriations Committee, Hon. Mutava Musyimi. I would like to state that the Budget and Appropriations Committee held productive deliberations with Chairpersons of all the Departmental Committees. They received written submissions with recommendations which have been taken into account in this Report. Some of the issues raised, which were cross-cutting the different Departmental Committees, were the need to link policy, planning and budgeting. There is a need to ensure that the Budget Estimates mirror the resolutions of the Budget Policy Statement as approved by this House. I would like to emphasise ... view
  • 9 Jun 2016 in National Assembly: With those very many remarks, I beg to second. view
  • 8 Jun 2016 in National Assembly: Asante sana ndugu Spika kwa kunipa fursa nichangie jambo hili kwa dakika mbili tu. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus