Richard Onyonka

Parties & Coalitions

Full name

Richard Momoima Onyonka

Born

1962

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

ronyonka@gmail.com

Email

KitutuChache@parliament.go.ke

Telephone

0722460333

Telephone

0733441503

All parliamentary appearances

Entries 101 to 110 of 818.

  • 24 Aug 2016 in National Assembly: Naunga mkono sheria hii na nina imani kwamba Bunge hili litaleta mabadiliko katika vyuo vikuu nchini Kenya. view
  • 24 Aug 2016 in National Assembly: Please guide us. view
  • 24 Aug 2016 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker. I am trying to make a recommendation on an amendment. view
  • 24 Aug 2016 in National Assembly: Yes, Hon. Deputy Speaker. view
  • 24 Aug 2016 in National Assembly: I am making a further amendment, Hon. Deputy Speaker. view
  • 23 Aug 2016 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika. Ningependa kuchangia hili jambo muhimu ambalo limeletwa na Mhe. Sumra kuhusu Wakenya maskini wanaopelekwa hospitalini. Mgonjwa maskini akipelekwa hospitalini, madaktari wanakataa kumtibu. Jukumu la kubadilisha sheria na kuhakikisha kuwa mambo kama haya yamerekebishwa ni la hili Bunge la Kenya. Kila wakati wagonjwa wanapelekwa hospitali na wanapoaga dunia, kama alivyosema Mhe. Neto, hospitali zinakatalia miili isipelekwe nyumbani. Ningependa kusihi Kamati ya Afya ilizungumzie suala hili ili suluhu ipatikane. Asante, Mhe. Naibu Spika. view
  • 18 Aug 2016 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. I totally agree with my colleague. In roads construction, the fact that somebody has gone to school and got a master’s degree does not necessarily--- The only suggestion I will make in the amendment is that there should be a possibility that if somebody has an added advantage of a master’s degree that should be fine but there should be a limit, for example, of saying that somebody should have, at least, five years’ experience or eight years’ experience which would then moderate both sides. But to say that somebody who is going to ... view
  • 17 Aug 2016 in National Assembly: Asante sana Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi hii kulizungumzia hili lalamiko ambalo limeletwa kwa Bunge hili kuhusu afisa ambaye alikuwa anafanya kazi kwa jeshi la Kenya. view
  • 17 Aug 2016 in National Assembly: Mimi kama mwanakamati wa Kamati ya Ulinzi na Mswala ya Nje, ningefurahia kama ungemwambia mwenyekiti wetu amwalike Mkuu wa Majeshi ya Kenya na wahusika wake ili walete ushahidi na tujadiliane mambo kuhusu haki za Bwana Mbaabu aliyedhulumiwa. Namshukuru Mbunge wa Igembe Kaskazini kwa kufanya kazi nzuri ya kumtetea ndugu wetu na kuleta haya mambo kwa Bunge hili. Kwa kweli, wanajeshi na polisi wa Kenya wana shida na lazima tujaribu kuzitatua. Namuunga mkono Mhe. wa Igembe Kaskazini na natarajia kwamba itawezekana hivi karibuni kujadiliana hili jambo. Najua si hili tu. Kuna dhuluma nyingi sana ambazo wafanyikazi wa Serikali hupitia na pia ... view
  • 19 Jul 2016 in National Assembly: Asante, Dada Naibu Spika. Ukiliangalia hili jambo, wakati huu nchi ya Kenya inashtuka sana kwa sababu tuna Kamati mbili. Wakati tulipoanza kuchangia jambo hili la Tume Ya Uchaguzi na Mipaka humu nchini, vyama vya kisiasa viliketi vikakubaliana ni akina nani watakuwa wanaketi kwa kamati hiyo, Walizungumzia hili jambo ili kujaribu kutatua shida ambazo ziko katika Tume hiyo. Lakini hapo hapo, Mhe. Chepkong’a ameendelea na Kamati yake ambayo ilianza kufanya kazi hapo mbeleni. Kwa hivyo, shida iliyoko ni kuwa ingekuwa vizuri wakati utakapotoa uamuzi wako, ujaribu kuwasaidia Wakenya ili waelewa ni kwa nini tuko na kamati mbili ambazo zinazungumzia jambo ambalo ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus