5 Sep 2013 in National Assembly:
Exactly! So, the point I am making is that the argument my friend, hon. A.B. Duale is making that the report could have been doctored or whatever it was, was overtaken by events.
view
6 Aug 2013 in National Assembly:
Hon. Deputy Speaker, I will consult with the Chair. This is a question that requires a lot of gathering of information and most probably, the Statement will be issued after the recess.
view
6 Aug 2013 in National Assembly:
Hon. Deputy Speaker, we require two weeks.
view
6 Aug 2013 in National Assembly:
Hon. Deputy Speaker, even while I agree with you, there is a very critical issue that I wanted to find out which is why we do not have fuel at the airport. I think it is an important question that we need to ask the Chairman of the Departmental Committee on Transport, Public Works and Housing to tackle.
view
6 Aug 2013 in National Assembly:
Thank you, hon. Deputy Speaker. He has heard.
view
6 Aug 2013 in National Assembly:
--- (off-record)
view
6 Aug 2013 in National Assembly:
Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii ili nichangie jambo muhimu kama hili kuhusu ugatuzi na mahali ambapo tumefika. Jambo hili limewakera wananchi mno lakini sisi kama viongozi katika Bunge hili, tumekuwa tukilizungumizia na kuna mambo fulani ambayo ningependa kusema. Hapa Bungeni, vyama vyote kama vile Jubilee na CORD, tunakubaliana sisi sote ni lazima ugatuzi uendelee. Hatuna tashwishi kuhusu vile hela za Serikali yetu zitagawanywa mashinani. Tunajua kuwa kuna tashwishi kuhusu vile hela kutoka kwa Serikali kuu zitaenda mashinani ambako magavana na wanaojishughulisha katika serikali za kaunti watakuwa wakizitumia. Kuna uovu mwingi. Hata mkaguzi wa hesabu ...
view
6 Aug 2013 in National Assembly:
maendeleo mashinani nchini Kenya. Mpaka sasa, hatujui ni nani atakayekuwa akitengeneza barabara.
view
6 Aug 2013 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, vile ndugu yangu alivyosema, katika kumalizia, ningependa kusema kwamba hela ambazo zimegawiwa maeneo ya uwakilishi Bungeni, ambazo ni za CDF, ni lazima Bunge hili lihakikishe kwamba hela hizo haziondolewi kamwe. Hizo hela zinasaidia wananchi; sisi ndio tunajenga shule na barabara. Hayo ndio maendeleo wananchi wanatarajia mashinani. Jambo lingine ambalo linaleta shida ni kuwa kama gavana hataweza kuleta maendeleo yale tunayotarajia katika maeneo ya uwakilishi Bungeni, katika sehemu za kaunti tutafanya nini? Hapo ndipo CDF itasaidia.
view
6 Aug 2013 in National Assembly:
Kwa kumalizia, ninaunga mkono Mswada huu na ninatoa hisia zangu kwa hisani. Ningependa kutoa hisia kwamba tuhakikishe, tumalize na kupitisha huu Mswada ili kaunti ziendelee na wananchi wa Kenya wahisi vizuri na maendeleo kupatikana mashinani.
view