8 Jul 2015 in National Assembly:
Asante sana Mhe. Naibu Spika. Ninasimama kuunga mkono huu Mswada ambao mhe Wamalwa ameleta hapa. Wale wanaojua historia yangu ya kuja Bunge hawawezi kuuliza kwa nini ninaunga mkono. Katika uteuzi wa chama cha TNA, chama ambacho nilianza nacho, nilishindwa sana, hata hakukuwa na cha kuongea wala majadiliano. Nilinyang’anywa tikiti kwa sababu chama kilikuwa na wenyewe wakati huo. Wale ambao walitengeneza sheria hii walikuwa na nia nzuri kwa sababu walifikiria Kenya ina demokrasia na haki katika uteuzi wa vyama. Ukweli ni kwamba hatujafika hapo. Isipokuwa wale wachache ambao ni viongozi wa vyama hapa, hakuna mtu atapinga Mswada huu. Labda tu viongozi ...
view
8 Jul 2015 in National Assembly:
vinavyostahili kupata pesa hizi kutoka kwa kodi ambayo tunalipa ni siku ambayo demokrasia, haki, usawa na uwajibikaji zitaingia katika vyama vyetu.
view
8 Jul 2015 in National Assembly:
Vyama vidogo huhitajika sana tukija hapa Bungeni, Seneti au katika Bunge za Kaunti kwa sababu ya kura walizonazo katika Bunge na katika Seneti. Hata hivyo, wakati pesa zinapogawanywa huko nje, havikumbukwi. Vinahitajika tu wakati kura zao zinatakikana kutumika kusaidia Serikali na kusaidia kama ni mrengo wa CORD au Jubilee. Pesa ambazo vyama vinapewa zinatoka kwa kila Mkenya kwa hivyo ubaguzi huu wa vyama vidogo kutopewa pesa lazima tuumalize.
view
8 Jul 2015 in National Assembly:
Nikielekea kumaliza, kuna kitu ambacho ninataka kuuliza. Pesa hizi ambazo zinapatiwa vyama wakati huu na zinachukuliwa na vyama vikubwa zinaenda kusaidia vyama vilivyoko sasa. Kwa nini zisaidie vyama vichache na ziache vyama vingine ambavyo vina viongozi katika Serikali? Sababu ni ipi? Mtu asimame hapa aseme ni kwa nini kama chama changu cha Alliance Party of Kenya (APK), New FORD Kenya ama FORD Kenya visipatiwe na vyama vya TNA na ODM vipatiwe? Sababu ni gani? Mtu atueleze tuelewe kwa sababu sheria iliyoko ni mbaya. Ukiwa Mheshimiwa hapa, hujui ni kipi kitafanyika kesho. Hujui utakuwa wapi, upande wa kulia ama wa kushoto. ...
view
7 Jul 2015 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I rise to support this Bill. It is coming to help better a bad law. The wrangles that we saw in the last few months at the EACC were clearly caused by the architecture of the current law, where there were two centers of power. Further, there was a situation where you had very limited mandate and functions of the commissioners, yet they were permanent holders, and would go to the office every day. Since they were idle, they obviously tried to interfere with the mandate and the turf of the secretariat. I congratulate the Committee ...
view
7 Jul 2015 in National Assembly:
Further, I think this is a trend that we must adopt in other commissions that have similar problems. An example is the commission in charge of gender. These are people who should not be in office full time. They should only go there to deal with policy issues and get reports; when you have somebody who is paid a salary to be in an office and they do not have work, they will create work for themselves. The work will be to interfere with other people’s mandate. I am happy about the savings that this country is going to make ...
view
7 Jul 2015 in National Assembly:
The issue of corruption started with the independence of this country. It has been there and in my opinion, the people who have been in office have been the originators of corruption in this country. It is only fair to say that the last few months have seen this country truly fight corruption, where the big fish have also been netted by the initiative our President started in this House. The problem that we have is that corruption has been devolved. We have serious problems in the counties; perhaps, the EACC and other bodies that are supposed to fight corruption ...
view
7 Jul 2015 in National Assembly:
As we pass this law, I will request the panel that is going to appoint or select, the people to fill the current vacancies to come up with people who are not very tired, as another Member indicated. We want people who will bring a fresh approach. It should be fresh faces in this fight and not necessarily noisemakers, or people who are always in the streets. The first thing that I would want them to look into is where people are paid but they do not do the job that they are supposed to do. Public officers are paid ...
view
7 Jul 2015 in National Assembly:
last place you are likely to find them is their stations of work. That is one area we must deal with. Hon. Speaker, the other issue is that before the current Chief of Staff of the Civil Service left his office at the Treasury, he had indicated - I think nobody has rebutted this - that about 30 per cent of the Development Budget is stolen. So far, nobody has unravelled that particular mystery. If this continues to happen in this country, then the pipe dream of Vision 2030 will remain that, a pipe dream. So, it is important to ...
view
2 Jul 2015 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairlady, I would just like to seek a clarification from the able Chair. When they propose that the county governments take into consideration the tariffs gazetted by the Regulatory Board while imposing tariffs, I do not seem to get it. Is it that some money is going to be taken to the Regulatory Board? Can she clarify?
view