27 Nov 2013 in National Assembly:
Wakati wa siku ya mashujaa mwaka huu niliweza kupata maoni ya wananchi wangu wa Kipipiri kuhusu ni watu gani tunaweza kuita mashujaa katika eneo bunge langu. Kuna watu walitajwa na bila shaka niliona kwamba hatukuwa na utaratibu mzuri wa kuwatambua mashujaa katika nchi yetu. Tangu tupate uhuru, tumekuwa na mpango ambapo vibaraka na viongozi wa Serikali zilizopita walitunukiwa tuzo za ushujaa. Wale wananchi wetu ambao walijitolea kutetea haki zetu na kulinda hii nchi na kuleta mema na utukufu kwa nchi hii, hawakutambuliwa. Wengi wao walikufa wakiwa na shida nyingi. Hatutasahau mashujaa wetu kama hayati mhe. Shikuku, Bildad Kaggia, Seroney na ...
view
27 Nov 2013 in National Assembly:
Pia, ninaunga mkono Hoja hii kwa sababu inatoa nafasi ya kutambua na kuamua ni akina nani watakuwa mashujaa. Kama ilivyosemwa na aliyezungumza mbele yangu, umma una uwezo wakukataa mashujaa waliochaguliwa. Wananchi wakipiga kura na kusema kwamba hawamtaki mtu fulani kuwa shujaa, kamati ya kuwatambua mashujaa haitakuwa na budi ila kumkataa huyo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
27 Nov 2013 in National Assembly:
Mhe.Naibu Spika wa Muda, ninafurahia Hoja hii kwa sababu ina sehemu ambayo inapanga kusaidia mashujaa wetu ambao wana shida mbali mbali. Hoja hii itabuni hazina ambayo inaweza kushughulikia mashujaa wetu na wapendwa wao. Kwa mfano, kama shujaa atatuacha tutawasaidia wapendwa wake kifedha.
view
27 Nov 2013 in National Assembly:
Pia, ninaunga mkono Hoja hii kwa sababu kuna sehemu ambayo inaruhusu kuondolewa kwa tuzo ya shujaa ambaye anafanya kinyume na matakwa ya nchi ama anajiingiza katika uhalifu. Tunaweza kusema kwamba yeye si shujaa tena.
view
27 Nov 2013 in National Assembly:
Kwa hivyo, ninaunga mkono Hoja hii nikiwa mwongeaji wa pili. Ahsante mhe. Naibu Spika wa Muda.
view
21 Nov 2013 in National Assembly:
Thank you, hon. Speaker. I rise to support the Bill. One of my childhood memories was a herd of elephants crossing our farm, where I was born in Kipipiri. It is very sad that what happened very many years ago is no more. There are no more elephants to cross our farms in Kipipiri apart from the few who can be found in the neighbouring Aberdares National Park. Unless this country thinks about its The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
21 Nov 2013 in National Assembly:
God-given natural resources, our posterity will not see an elephant or a lion. The only thing that brings foreign exchange, through tourism, in this country might not be there in a few years to come. Perhaps, the rate of extinction of our wildlife is brought about by a combination of several factors. My colleagues, who have spoken before me, have mentioned a few of them. One of them is lack of ownership of wildlife by the communities that live with the animals. For many years, and even now in some areas, wildlife lives outside designated game parks. They live with ...
view
19 Nov 2013 in National Assembly:
Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. I rise to support this particular Motion. I support the establishment of the Uwezo Fund and I thank the President for finally fulfilling his promise to this country. I thank the Jubilee Government for that. The amount of Kshs6 billion is a good figure as seed money but, in as much as we may not be able to bring amendments to bring further appropriations of funds to that Fund in future today, it is something that we need to think about so that, later on, through the process provided for in the Constitution and ...
view
19 Nov 2013 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairman, I would like to respond to what my brother, hon. Richard Onyonka, has indicated even what the other hon. Members have said. When you read Regulation 6(a) it provides overall management design and oversight of the Fund. That takes care of those management issues. Therefore, we do not need to bring in issues of agency and recovery. That was the work of the board. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
19 Nov 2013 in National Assembly:
On a point of order, hon. Temporary Deputy Chairman, Sir. I think the amendments proposed by hon. Shebesh have no problem in principle, but the way they are framed, it will be very unconstitutional to pass them as they are. One, you say in this Regulation that the role of the champion of the Fund shall be to publicize and raise awareness of the Fund; two, you talk of developing capacity building of the Fund recipients for table banking. Three, the role of the patron of the Fund, under this paragraph, will be to provide linkage between the Fund and ...
view