All parliamentary appearances
Entries 81 to 90 of 286.
-
6 Dec 2017 in National Assembly:
I also want to appeal to Members and political leaders in Mt. Elgon region to come together and see to it that this nonsense stops because we are neighbours. You cannot move your neighbour. You cannot choose your neighbour. He is given by God. That is why people live and move together.
view
-
6 Dec 2017 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker.
view
-
7 Nov 2017 in National Assembly:
Ahsante sana, Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi ili nami pia nitoe wazo langu juu ya Hoja ambayo iko mbele yetu. Nalaani kitendo cha kuwaua wanyama. Ningependa kuwauliza wale ambao wanahusika na masuala ya wanyama, kama wale wanaopigania haki za kibinadamu na wengine kuangalia suala hili. Hii si mara ya kwanza kitendo kama hiki kimetendeka katika eneo hili. Wengine wetu tumetoka mahali ambapo kumekuwa na shida ya usalama kwa muda mrefu kama vile Turkana, Pokot, Karamajong, Sebei hata upande wa Trans Nzoia. Hatujafika kiwango ambacho tumeona operesheni kama ya 1984 iliyoitwa Operation Nyundo ambapo walikuwa wanatafuta watu. Hawakukusanya ng’ombe ...
view
-
7 Nov 2017 in National Assembly:
Wakati wazungu walichukua maeneo hayo makubwa, je, hakukuwa na wenye kuishi hapo mbeleni? Tunataka jibu kwa hilo swali kwanza. Ripoti ilisema tufuatilie jambo hilo na tuhakikishe kwamba suluhisho limepatikana. Wengine wetu tumepakana na Trans Nzoia na tunasikizana na wenyeji. Tunahitaji kufidiwa ili tukae kama wengine. Lakini polisi kutumia nguvu kupita kiasi na hatimaye kuua ng’ombe ni hatia.
view
-
7 Nov 2017 in National Assembly:
Wengine wetu tumefanya kazi kwa Serikali na tumehusika na masuala ya usalama. Kuna fununu kwamba ng’ombe waliuliwa kwa sababu wakora waliwatumia kama kinga. Mbona hakuna mkora hata mmoja ambaye alipigwa risasi wakati ng’ombe 300 waliuliwa? Hao wakora wako wapi? Hata mtu mjinga anaweza kuuliza: Mbona ng’ombe 300 waliuliwa bila mkora hata mmoja kupatikana? Halafu tunaambiwa wakora walitumia ng’ombe kama ngao. Kenya ni yetu sisi wote. Hakuna kabila lililo bora kuliko lingine. Tuko sawa sote. Naomba tuteue kamati ya Bunge ili ichunguze kitendo hiki na ilete ripoti ili tujue makosa yalikuwa wapi. Kitendo hiki kilifanyika mara ya kwanza na watu wakafikiria ...
view
-
7 Nov 2017 in National Assembly:
Naunga mkono.
view
-
11 Oct 2017 in National Assembly:
Ahsante sana Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ili nami nichangie Hoja iliyoko mbele yetu. Nataka kumshukuru aliyewaza na kuileta mbele yetu. Umesikia jinsi wanenaji wengi wamesema kuhusu Hoja hii. Mkulima wa mahindi, ngano, miwa na hata wafugaji kama mimi ndio wanaoumia kwa Jamhuri yetu la Kenya. Huu ndio wakati Serikali lazima iangalie na ijue kwamba hao pia ni binadamu ambao wana mahitaji yao ya kila siku kama karo ya shule na chakula - maana hao pia ni Wakenya. Wakati mwingi huwa napenda kusema kuwa sisi ni Wakenya, lakini hatuko pamoja ama hatuko na ule usawa. Kuna wale ...
view
-
11 Oct 2017 in National Assembly:
kuwahimiza wanachama wa Kamati ya Ukulima na Ufugaji tutakapowachagua, wawe macho ili waangalie na kufuatilia kilio cha wakulima. Lazima wazingatie iwapo wanapata haki yao ama la. Nilikuwa katika Bunge la Kumi na Moja na kuna Hoja iliyoletwa kuhusu kilio cha wananchi kuhusu kampuni ya sukari ya Mumias. Sasa, lazima tuangalie maslahi yao. Pia tunafaa kushukuru na kujivunia sana Serikali ya sasa. Wale viongozi wa juu haswa ni watu wenye moyo wa kutaka kusaidia yule mtu wa chini. Lakini, wale wamepewa jukumu la kusimamia ndio wako na malengo tofauti. Tunataka kufanya kazi mpaka yule mwananchi anayelalamika aweze kufurahia uongozi wa nchi ...
view
-
27 Sep 2017 in National Assembly:
Thank you very much, Hon. Deputy Speaker. I also want to join my colleagues who have contributed in support of this Sessional Paper. I want to start by thanking the current Government under President Uhuru Kenyatta and his deputy. If this House could do the necessary, like all the things we have put down and we are soon going to discuss, I know this thing should work well in this country, especially for the three to four years which they have been there. I can attest that even in Kapenguria where it was left behind, a marginalised area, is now ...
view
-
27 Sep 2017 in National Assembly:
Thank you very much, Hon. Temporary Deputy Speaker. I also thank the Leader of the Majority Party for giving us some few minutes to join colleagues in appreciating the efforts made by the Lake Victoria Nile Basin. As Kenyans, we are the main contributors. As Hon. Jimmy said, we also need to benefit because our people are suffering. They cannot even do cultivation using this water. The water is needed even to go to the lake and down to River Nile. It is just like what is happening in Lake Turkana. Lake Turkana is now getting dry because the Ethiopians ...
view