Samuel Gonzi Rai

Aspirant for

Parties & Coalitions

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

raigonzi@yahoo.com

Email

Kinango@parliament.go.ke

Telephone

0721278296

Telephone

0722355499

Samuel Gonzi Rai

Aspirant in the upcoming elections: Aspirant MP

Have information to add to our site about this aspirant?

All parliamentary appearances

Entries 481 to 490 of 531.

  • 16 Aug 2007 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, tumechaguliwa kufanya kazi kwa miaka mitano. Wakati umefika wa sisi Wabunge kuongezewa muda wa kufanya kazi katika Bunge hili. Haifai sisi kushurutishwa kwenda nyumbani wakati matatizo yamezidi katika sehemu zetu. Bw. Naibu Spika, katika historia ya taifa hili ni mara ya kwanza mwaka huu hatujamaliza Hoja inayoshughulikia Bajeti ya Wizara mbalimbali. Kufikia wakati huu, si Wizara nyingi ambazo zimepata pesa. Leo tunaombwa kwenda nyumbani wakati Wizara nyingi hazijapata pesa za kuziwezesha kufanya kazi. Bw. Naibu Spika, hii ni dhambi kubwa. Wakati kama huu, tunahitaji sisi kama Wabunge kulaani vitendo kama hivi. Kama kuna baadhi ya Wabunge ambao ... view
  • 16 Aug 2007 in National Assembly: Wengine kama mimi tunajua kuanguka na kufaulu. Nilikuwa hapa Bungeni mwaka wa August 16, 2007 PARLIAMENTARY DEBATES 3263 1992. Ilipofika 1997 nilianguka na kukaa nje miaka mitano. Mwaka wa 2003, nikarudi tena. Bw. Naibu Spika, wakati kama huu si vizuri Wabunge kuombwa kwenda nyumbani kwa sababu tumechoka. Nguvu za binadamu ajuaye mwenyewe. Hakuna aliyeingia katika mwili wa mwingine na kujua amechoka. view
  • 16 Aug 2007 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, ni lazima tuseme ukweli. Ninakumbuka yuko nabii mmoja ambaye alikuwa na umri wa juu na akajisikia kuchoka. Akaenda akaomba radhi apate kuondoka duniani lakini akaambiwa wakati wake haukuwa umefika. Aliambiwa asubiri hadi nabii fulani aje kwanza amuone ndio yeye aombe radhi ya kuondoka duniani. Umri wetu wa kuishi hapa Bungeni haujamalizika. Kwa hivyo, kukatiwa maisha yetu, haiwezekani. Bw. Naibu Spika, kama Serikali ina wakati, ikajipange, ijiandae na ijue kwamba sisi tuko tayari kufanya kazi na kuendelea kumpa huduma mwananchi anayesubiri huduma kule nje. Bw. Naibu Spika, napinga vikali na moja kati ya mambo ambayo yanaudhi ni kama ... view
  • 16 Aug 2007 in National Assembly: Ni lazima mambo kama hayo yachunguzwe na yajaribu kuangaliwa. Bw. Naibu Spika, kitu ambacho ningetaka kugusia nikimalizia ni kwamba, ikiwa Serikali inajijua ina makosa, ina haja ya kuambia taifa hili kwamba kuna makosa fulani ambayo yanaendelea. Serikali ilikuja hapa na ikaanza kuwalipa allowances Mawaziri na Mawaziri Wasaidizi, jambo ambalo halijapitishwa na Bunge hili! Lakini, hivi sasa, wanataka kuhalalisha view
  • 16 Aug 2007 in National Assembly: kuwa right ! Sisi hatuwezi kuwa rubber stamp hapa! Kwa hivyo, naiomba Tume ya Bw. Ringera hivi sasa ianze kazi, na wale Mawaziri waliokua wakipokea pesa hizo wazitapike ili zipate kwenda kufanya kazi ya wananchi! view
  • 16 Aug 2007 in National Assembly: Mpaka itakapokuwa imepitishwa katika Bunge hili, na ianze kazi wakati itakapokuwa imepitishwa katika Bunge, ndipo nitakapotosheka kwamba pesa zile ni halali. Lakini, kwa sasa, ni haramu! Nai kiwa Bw. Ringera hawezi kufanya kazi kama hiyo, basi inaonekana pia na yeye ameshindwa. Atuambie na tuko tayari kumchagua mtu mwingine kufanya kazi hiyo. Kwa hayo machache ama mengi, napinga! view
  • 26 Jul 2007 in National Assembly: asked the Minister for Local Government:- (a) whether he is aware that Mr. Francis N. Tsuma, Senior Advisor to schools and attached to Municipal Council of Kitale, has not been paid his salary arrears amounting to Kshs138,040; (b) whether he is also aware that the Public Service Commission rejected a recommendation that his salary be varied from SS.5 to SS.7; and, (c) what he is doing to ensure that the officer is paid his dues and reimbursed all expenses incurred while pursuing the payment. view
  • 26 Jul 2007 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I appreciate the answer given by the Assistant Minister, but he has said that two cheques amounting to Kshs73,626 were drawn to pay Mr. Tsuma. Could he, please, table a breakdown to show how he arrived at the amount of Kshs73,626 because the claimant is claiming Kshs138,040? view
  • 26 Jul 2007 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, while Mr. Tsuma was pursuing the recovery of this money, he was subjected to a lot of torture. He even had to go to the Kenya Anti-Corruption Commission (KACC) over this particular matter and yet you can see that the matter is still not yet resolved. Mr. Tsuma is claiming Kshs138,040, but the Kitale Municipal Council is only paying him Kshs73,676. So, up to now, the amount of money paid, as far as Mr. Tsuma is concerned, is not yet complete. This matter was referred to the KACC, and they certified that the amount to be ... view
  • 7 Dec 2006 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, the Assistant Minister is misleading this House. Last year, there was a budgetary provision of Kshs75 million. That means the assessment had been done and Kshs75 million allocated to that particular road. Today, he is telling us that engineers are on site assessing the same road. Why did the Assistant Minister not factor in the Kshs75 million in the 2006/2007 financial year. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus