Sara Paulata Korere

Parties & Coalitions

Telephone

0727027937

All parliamentary appearances

Entries 151 to 160 of 416.

  • 19 Nov 2020 in National Assembly: Nikimnukuu Mhe. Rais, alizungumzia yale waliweza kufanya kama Serikali ili kupunguza makali ambayo Wakenya wanapitia, kwa sababu ya hali ya uchumi na ukosefu wa biashara. Baadhi ya kodi ambazo zimepunguzwa ili kukabiliana na makali ya virusi vya Korona ni dhibitisho tosha kwamba Mhe. Rais anajali taifa la Kenya, wachuuzi na wafanyi biashara wadogo. view

  • 19 Nov 2020 in National Assembly: Nitazungumzia kuhusu virusi vya Korona. Tumeona kwamba Mhe. Rais amefanya mengi na yote ambayo anaweza. Pia, ninapongeza Bunge hili kwa sababu waliketi chini kwa dharura, haswa Kamati ya Bajeti na Kamati ya Afya. Lakini inasikitisha kwamba baada ya Wabunge kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha kwamba Wakenya wako salama na sekta ya afya iko sawa, kuna wale ambao waliona nafasi ya kujitajirisha kwa kuiba fedha. Inahuzunisha sana kwamba tunavyozungumza sasa hivi, sio Wakenya wa kawaida peke yao wanaokufa; madaktari pia wanaangamia. view

  • 19 Nov 2020 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, nilibahatika kuwa katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Afya jana, ambapo madaktari waliwasilisha malalamishi yao. Inasikitisha kwamba katika Bunge hili, kila mmoja wetu hapa anajua rafiki, ndugu au jamii ambaye ameangamia kutokana na makali ya virusi vya Korona. Hata kuna wenzetu katika Bunge hili ambao wameangamia. Tulivyo keti hivi, tunaangaliana kama “marehemu watarajiwa” manake hatujui nani atafuata. Najua Wabunge wanasikitika na kushtuka sana ninaposema sisi ni “marehemu watarajiwa” lakini Waswahili husema ukiona mwenzako ananyolewa, tia chako maji. Rais amefanya yote awezayo. Ni muhimi Waheshimiwa katika Bunge hili kumuunga Rais mkono, haswa katika vita dhidi ya ufisadi. view

  • 19 Nov 2020 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, ninaona muda wangu umeisha lakini sitakosa kuongea kuhusu usalama wa nchi hii. Kweli, nchi yetu ni salama kutokana na hatari za nje lakini nchi yetu si salama kutokana na hatari ya sisi kwa sisi. Nitokako mimi kuna ujambazi ambao umekita mizizi, haswa wizi wa mifugo na uvamizi. Kule kwetu, watu hawaogopi virusi vya Korona. Wanaogopa wezi wa mifugo. Nashangaa kwamba askari ambao wanafanya kazi katika eneo gumu kama hilo ni wale wa ziada, kwa kimombo wanaoitwa Kenya Police Reservists (KPR). Lakini baada ya miezi michache… view

  • 17 Oct 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, pursuant to Standing Order No.44(2)(c), I wish to request for a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Administration and National Security regarding the increased cases of insecurity in Laikipia County. view
  • 17 Oct 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, groups of armed militia have been terrorizing residents in most parts of Laikipia County, with most recent attacks executed on 14th October 2019 in Mirango and Wangwachie areas of Laikipia North and West constituencies, respectively. One Maina John of ID. No.24686464 was severally injured and 12 cows and 36 goats stolen. On 15th October, 2019, the same militia shot dead one Stephen Ali Apetet who is a driver with the Laikipia Nature Conservancy. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus