14 Mar 2018 in National Assembly:
Kwa hivyo, itakuwa ni aibu kubwa sana kama kuna mashine ya kutibu wagonjwa na ambayo imehifadhiwa katika chumba mahali, pasipo kutumika… Kwa hivyo, ninapotia tamati ninaunga mkono Hoja hii. Shukrani na pongezi tena kwa aliyewasilisha Hoja hii ambayo tungepitisha jana na wala sio leo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
14 Mar 2018 in National Assembly:
Ninapoenda kukaa, ningependa ieleweke kwamba mimi sitoki Pwani; ninatoka bara haswa eneo la Laikipia, - Mimi ndiye Mdorobo pekee katika Bunge hili. Mwalimu aliyenifunza Kiswahili katika shule ya upili ya Doldol, Bwana Mwangi Motisha, sasa ni mwalimu mkuu wa shule ya upili ya Miamoja; abarikiwe sana. Shukrani.
view
7 Nov 2017 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. At such moments, I am lost as to what language to use to make my point across clearly and loudly. As the Member for the area where the massacres are happening, sometimes I wonder whether in this country there are children of a greater god and children of a lesser god. I want to condemn, with the strongest words possible, the killing of the cows. From where I sit, I am a serious livestock keeper and the only thing that can keep a smile on my face when everything else has failed is when ...
view
7 Nov 2017 in National Assembly:
From where I come, parents are not able to take their children to school. We are not able to feed our children. We are not able to even do our own range management because we have greater human beings who feel like they can walk and trample on our rights wherever and whenever they feel like. I want to say in this House that where our rights start is where their rights end. It is so painful that as I speak in this House, we want to believe that Laikipia is up for grabs. It is not. Laikipia has got ...
view
11 Oct 2017 in National Assembly:
Thank you, Hon. Chairman. I also rise to support the amendment by the Chairman of the Select Committee. This proposed amendment provides that any eligible voter… You know voting is actually a constitutional right. So, I support and that is why I believe Raila shall vote on 26th October 2017.
view
11 Oct 2017 in National Assembly:
Shukran Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuunga mkono makadirio ya bajeti ya matumizi ya fedha ya mwaka 2017/2018. Imesemwa hapa kwamba ni muhimu kuzingatia matukio katika nchi. Ni wajibu wetu kuangalia upya jinsi tutakavyokabiliana na baadhi ya mambo ambayo yametukumba kama nchi. Nikizungumzia juu ya makadirio ya bajeti hii, ni wazi kwamba wakati huu ni mgumu kwetu Wakenya. Tunashuhudia ugumu wa uchumi wetu ambao sasa hivi haufanyi vizuri. Bunge hili limepewa jukumu kuunda bajeti. Katika hali hiyo, ni muhimu kuzingatia matarajio ambayo wananchi wameonyesha. Upande wa elimu, Ksh23 milioni imetengwa kushughulikia elimu ya bure katika shule za sekondari. Fedha hizi ...
view
11 Oct 2017 in National Assembly:
kula. Nashangaa kwamba wenzetu wanakaa chini ilhali sisi tunawafanyia kazi muhimu na wanategemea kulipwa mshahara wa kazi ambayo hawajafanya.
view
11 Oct 2017 in National Assembly:
Fedha zingine ambazo imebidi kamati itenge ni zile za Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka. Tunafahamu kwamba sasa hivi, tunatarajia kurudi kwa uchaguzi mpya tarehe 26 mwezi huu. Tulipoketi kama kamati kushughulikia masuala haya, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ilikuja mbele yetu na kutupa mahitaji yao. Ningetaka pia ifahamike na Wakenya kwamba kama uchaguzi utafanyika tarehe 26 mwezi huu, ama Novemba, ama Januari ama Februari, uchaguzi ni lazima ufanyike. Inastahili pia ifahamike na Wakenya kwamba kujiuzulu kwa kinara wa NASA katika kinyang’anyiro hakumaanishi alijiuzulu kama mpiga kura. Yeye bado ni mpiga kura. Shughuli hii imechukua shilingi bilioni kumi. Pia, ...
view
11 Oct 2017 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, labda wakati wanasajili hawa maajuza, pia ndugu wetu anaweza kuwa ni baadhi ya wale ambao watafaidika na hizi fedha. Tukiangalia masuala ya usalama, ni Ksh6.9 bilioni imepewa kwa wizara hii. Tunavyoangalia hali ilivyo sasa hivi, tunavyoangalia jinsi utangamano wa Wakenya ulivyo kwa sababu ya hii marudio ya uchaguzi, inahitajika kwamba Katiba ya Kenya inaruhusu kuhakikisha kila Mkenya kwamba serikali itashughulikia usalama wao na usalama wa mali yao. Na hii haiwezi kufanyika iwapo idara ya kusimamia usalama haitapewa fedha jinsi wanavyohitaji. La muhimu zaidi pia, tukizingatia hali ya anga ilivyo nchini sasa hivi tunagundua kwamba baadhi ...
view
11 Oct 2017 in National Assembly:
Nikitia tamati ningependa pia kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanalaikipia, hasa kutoka Laikipia Kaskazini, kwa kunipa muda wa kuwashughulikia kama Mbunge mteule na wala sio Mbunge maalum tena. Shukrani Mhe. Nibu Spika wa Muda.
view