31 Jan 2017 in National Assembly:
(ii) Intervenes to ensure that the Petitioners’ plight is addressed by ensuring that money is budgeted for the rehabilitation of the road. And your humble Petitioners will ever pray.
view
22 Nov 2016 in National Assembly:
Thank you Hon. Temporary Deputy Speaker. I also want at the outset to thank the initiator of this Bill. This is a Bill that is timely. In my understanding, I know that cattle rustling is a primitive out-dated culture of the yesteryears. But what we are experiencing in this country is not just culture as everybody wants us to believe. Cattle rustling is a more technical and organised thuggery. In my view, this Bill is very timely because for the last two years in the constituency where I come from, I have witnessed families becoming poor as a result of ...
view
22 Nov 2016 in National Assembly:
Thank you Hon. Temporary Deputy Speaker. I also want at the outset to thank the initiator of this Bill. This is a Bill that is timely. In my understanding, I know that cattle rustling is a primitive out-dated culture of the yesteryears. But what we are experiencing in this country is not just culture as everybody wants us to believe. Cattle rustling is a more technical and organised thuggery. In my view, this Bill is very timely because for the last two years in the constituency where I come from, I have witnessed families becoming poor as a result of ...
view
26 Oct 2016 in National Assembly:
Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuongeza sauti yangu katika kuupinga Mswada huu ambao umewasilishwa hapa na Mhe. Chepkong’a. Inafaa ifahamike kwamba Katiba hii inayowapatia akina mama nafasi zaidi katika Bunge haikupitishwa na akina mama peke yao, bali ilipitishwa na wananchi wa nchi tukufu ya Kenya. Iwapo Katiba itatupatia kwa mkono wa kulia na Bunge itunyang’anye kwa mkono wa kushoto, itakuwa aibu, fedheha na dhuluma. Sisi kama akina mama ambao tumehesabika katika Bunge hili la kumi na moja, tutaingia katika vitabu vya historia kama akina mama waliohudumu katika Bunge ambalo lilinyanyasa na kudhulumu akina mama. Mimi nikiwa Mbunge kutoka ...
view
19 Oct 2016 in National Assembly:
Shukrani Mhe. Naibu Spika wa Muda. Natoa sauti yangu kuchangia Hoja iliyo mbele yetu. Ni wazi na imedhihirika kwamba hili baa la njaa limekumba maeneo mengi Kenya nzima. Natoka Laikipia na hali ni hiyo hiyo ya dukuduku na kumekuwa na tahadhari ya binadamu kupoteza maisha na mifugo yao kupitia baa la njaa ambalo limeenea.
view
19 Oct 2016 in National Assembly:
Yafaa ieleweke kwamba tulipopitisha Katiba na kupigia kura ugatuzi, ilikuwa kwa sababu wananchi wapate huduma za karibu. Inasikitisha kwamba huduma ya karibu ambayo wananchi wa majimbo mengi wameweza kupata ni kule kuona magari ya kifahari na makubwa makubwa ambayo mara mingi hupita na kuwachia vumbi wasijue wanakotoka ama wanapokwenda. Laikipia inajulikana kwa umaarufu wake wa kufuga mifugo wa hali ya juu, haswa ng’ombe wa nyama. Pia, tumejulikana kwa kuhifadhi nyasi na maneno yetu mengine. Imekuwa ni kitu cha kusikitisha kwamba sisi tumehifadhi nyasi zetu kupitia conservancies ili tupeleke mifugo wetu pale wakati wa njaa. Lakini, hali kule imekuwa ni mwenye ...
view
19 Oct 2016 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, nalilia Wizara ya Usalama ilinde usalama wa watu wa Laikipia. Hii ni kwa sababu kumekuwa na mzozo mkubwa sana wa wafugaji kung’ang’ania rasilimali. Nataka ieleweke kwamba iwapo hautatunza rasilimali zako, hizo rasilimali hazitakutunza. Kwa hivyo, ni kitu cha kusikitisha sana kwamba ninapozungumza katika Bunge hili leo, wawili wa watu kutoka eneo Bunge langu wanazikwa leo hii kwa sababu ya kupigwa risasi na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
19 Oct 2016 in National Assembly:
wafugaji wanaotoka kaunti jirani kwa sababu ya kule kutaka kulisha mifugo wao kwa lazima katika maeneno ambayo sisi wenyewe tumehifadhi. Tunapoendelea ni kwamba kaunti jirani pia waketi chini na kujaribu vile watatatua tatizo hili la baa la njaa. Pia, naomba na kusema kwa unyenyekevu kwamba Serikali kuu iangazie maeneo kama Samburu, Laikipia, Isiolo na yale mengine yamekumbwa na hili baa la njaa. Ninapozungumza, kuna shule nyingi ambazo huenda zikafungwa kwa sababu ya watoto kukosa kulipa karo. Kama hawalipi karo, hawatapata lishe. Jinsi tunavyojua, baadhi ya wale wafugaji wanategemea soko la wanyama ili kuuza wanyama wao wakimu mahitaji yao ya maisha ...
view