19 Oct 2016 in National Assembly:
ili wasiangamie bure bilashi. Nashukuru, Mhe. Naibu Spika wa Muda.
view
11 Oct 2016 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I rise to support this Bill. At the outset, I want to congratulate the Senate for bringing this Bill which is very important to the lives of hundreds of thousands of our young children. This Bill is very important. I say that because the inequalities in the education sector in this country cannot be underrated. If you look at most of our rural areas, particularly the pastoralist areas, most children in the 21st Century do not access that very important facility of early childhood education. During our time, we could only proceed to Class ...
view
11 Oct 2016 in National Assembly:
children away from the public. As we discuss this important Bill dealing with the foundation of our children’s education, it is also important to discuss it alongside the needs of special children. Children with special needs should be considered right from the early times of their lives. Much has been said about this Bill. It is a good Bill. We support it. It should be given the necessary attention that it requires. With those remarks, I beg to support.
view
31 Aug 2016 in National Assembly:
Nimeshukuru Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Hii itakuwa sheria ya kufana sana, tukizingatia makosa yanayofanywa na wapiga kura na baadhi ya wagombeaji viti vya uchaguzi. Imebainika kwamba akina dada mara nyingi huwa wanazuiwa kugombea ama kushiriki kwenye chaguzi huru kwa sababu ya makuruhu na dhuluma wanayofanyiwa na baadhi ya wapinzani wao wa kiume. Kifungu cha 16 kinazungumzia ubebaji wa wapiga kura kutoka sehemu moja hadi nyingine na kuwaregesha. Hili limekuwa pigo kubwa sana kwa akina dada wanaogombea viti. Wakati wa kuwasajili wapiga kura, wapinzani wengine huwasafirisha wapiga kura kutoka wilaya moja hadi nyingini. Kifungu cha 18 ...
view
31 Aug 2016 in National Assembly:
Mhe. Spika wa Muda, kwa vile Nyumba ilivyotulivu leo na viwango vya joto vikiwa chini, naomba msamaha.
view
24 Aug 2016 in National Assembly:
Nashukuru Mhe. Naibu wa Spika kwa nafasi hii. Nataka kuwarai Wabunge wenzangu kwamba hili ni Bunge la sheria na utaratibu. Kwa hivyo tufuate utaratibu na sheria ambazo zinaliongoza Bunge hili.
view
24 Aug 2016 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
24 Aug 2016 in National Assembly:
Natoa pongezi zangu za dhati kwa Kamati Teule ambayo iliwasilisha Ripoti hii.
view
24 Aug 2016 in National Assembly:
Nitasema manaake ni lazima niseme ninayotaka kusema. Kamati Teule ambayo imewasilisha Ripoti hii iliongozwa na Wabunge ambao tunawaheshimu sana. Wamesifika sana, haswa kwa masuala ya kisheria. Kuhusu makamishna ambao wanatarajiwa kuondoka kutoka ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, ninaiunga mkono Ripoti hii.
view