Shakila Abdalla

Born

1961

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Telephone

0721382856

All parliamentary appearances

Entries 121 to 130 of 369.

  • 19 Oct 2022 in Senate: They should not sleep or rest. They should work diligently to ensure they deliver and raise the bar of the Senate by demonstrating hard work and delivering accordingly. I have spoken about the action to be taken against the culprits. view
  • 19 Oct 2022 in Senate: With those few remarks, Madam Temporary Speaker, I support the Motion. view
  • 19 Oct 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 11 Oct 2022 in Senate: Bw. Naibu wa Spika, asante kwa kunipa hii fursa kuweza kuchangia Hotuba ya Rais. Kwanza, ningependa kuchukua nafasi hii kuishukuru chama changu kwa kunipatia hii nafasi ya Seneta Maalumu na wale ambao wamechaguliwa kutoka kwa chama changu ambao wameniwezesha kupata hii nafasi. Vilivile, nawashukuru na kuwapongeza nyote ambao mumechaguliwa katika Seneti hii ya ki fahari kutekeleza majukumu yenu. Bw. Naibu wa Spika, Hotuba ya Rais, kwa maoni yangu, haiambatani kamwe na matarajio ya mwananachi. Neno ‘ Hustler’ ambalo huwa linatumika sana kama maua ya kurembesha ama kwa ufasaha na utaalam mwingi haswa na viongozi wa juu, ni neno ambalo halijaweza ... view
  • 11 Oct 2022 in Senate: (IMF). Hizo ndizo sehemu ambazo zitaleta mabadiliko makubwa ya uchumi wa nchi. Kuna swala la Kshs300 billioni kutolewa. Hivi sasa, tuko na Mawaziri Wasaidizi na hizo ofisi zao haziambatani na Katiba. Hiyo ndio mbinu mwafaka ya kupunguza gharama za Serikali na kuinua uchumi wetu. Rais atoe nafasi za Mawaziri Wasaidizi ambazo ziko pale kuzawadia wale waliomkampeinia. Kuna jambo la kulipa ushuru. Mwananchi mdogo ndiyo unaona anaumizwa sana. Tunataka Serikali ilenge na ipeleke macho yake kwa wale samaki wakubwa. Hao ndio wanafaa kulipa ushuru wa kubadilisha uchumi wa nchi. Tunafaa kuanza na Rais mwenyewe. Katika aya ya ishirini na moja, Rais ... view
  • 11 Oct 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 11 Oct 2022 in Senate: Kuna upungufu wa samaki nchini. Kenya inahitaji samaki tani milioni 900 lakini tunapata tani milioni 700 pekee. Raslimali zetu zinachukuliwa na watu kutoka nje ya nchi kwa sababu wana mitambo ya kisasa ya kuvua samaki. Kama nchi, tunahitaji kuwa na mitambo ya kisasa ya kuvuua samaki na kufundisha watu wetu mbinu mbadala za kuvua. Endapo tutafanya hivyo, tutainua uchumi wetu na kubadilisha maisha ya mwananchi aitwaye ‘ hustler’. Kwa sasa, raslimali zetu zinachukuliwa na watu ambao si Wakenya. Ukame na mafuriko ni majanga yanayotukumba kila mwaka. Tunashangazwa wakati Serikali inafanya firefighting badala ya kutafuta suluhisho la ukame na mafuriko. Wakati ... view
  • 11 Oct 2022 in Senate: Jambo jingine ni swala la Genetically Modified Organisms (GMOs). Kwa kawaida, watu hupanda mbegu na kuvuna kisha kupanda mbegu zitokanazo na mazao. Kwa upande mwingine, mbegu za GMOs hutumika mara moja tu. Ifikapo mwakani, utahitaji mbegu nyingine tena. Kwa hivyo, hiyo ni hasara kwa sababu watu watahitaji mbegu za GMOs. Mbegu za kawaida hupandwa na mtu anapovuna huweza kupanda tena mbegu zitokanazo na mazao yake. Mbegu za GMOs ni one-off deal. view
  • 11 Oct 2022 in Senate: Bw. Naibu Spika, kwa hayo machache, nashukuru. Asante. view
  • 4 Oct 2022 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus