Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 731 to 740 of 1870.

  • 6 Mar 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I have just asked for my notes, wacha nijipange. view
  • 6 Mar 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir, if you have noticed, I do not speak without my speaking notes, so that I can go systematically. view
  • 6 Mar 2024 in Senate: I am reminded that the Speaker is blind, but please allow other Members to talk--- view
  • 6 Mar 2024 in Senate: Bw. Spika, nilikuwa nimekinoa Kiswahili changu kwa ajili ya ujio wa Waziri Aisha Jumwa ili tuweze kupatana moja kwa moja. Kwa hivyo, utaniruhusu nizungumze Kiswahili hicho ili kisiende bure hata kama hajafika. view
  • 6 Mar 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services, Senate. view
  • 6 Mar 2024 in Senate: Kwanza nimjulishe Seneta wa Meru kwamba nimefanya kikao pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Usafiri, Sen. Thang’wa na yule ambaye ni Balozi wa nchi ya Japan kuhusu shida za trafiki katika barabara ya Ngong. Ametuahidi kwamba Serikali ya Japan kupitia ushirikiano na Serikali ya Kenya itazindua mfumo wa mabasi ya kasi katika barabara hiyo ya Ngong. Natumai itakupelekea kupata nafuu unapofika kazini hapa katika Seneti. Jambo la pili ni kwamba mimi ni baadhi ya wale wanaokaa katika Kamati ya Kuratibu Shughuli za Seneti. Kwa kweli tunapata msukumo kutoka kwa hao wenzetu ambao tunawakilisha katika Kamati ile. Ukiangalia ratiba ya Maswali ... view
  • 6 Mar 2024 in Senate: Bw. Spika, namaliza. view
  • 6 Mar 2024 in Senate: Nimekuelewa, Bw. Spika. view
  • 6 Mar 2024 in Senate: Bw. Spika, ndio, nachangia huo ukali, tafadhali. view
  • 6 Mar 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir, for your indulgence. Indeed, my Statement was motivated by an incident of two elderly women paying for their National Health Insurance Fund (NHIF) contributions through this platform. The NHIF were insisting that the payments were not reflecting on their side. The problem then becomes that these persons lose the cover and also incur penalties for fake arrears. They have to make fresh payments in order for them to come back to the cover. Secondly, there was a report of the Auditor General in December, 2023, that she had not seen the contract agreements between the ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus