Simon Nganga Kingara

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 101 to 110 of 175.

  • 6 Aug 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. view
  • 6 Aug 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. view
  • 4 Jun 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, I rise to ask the Cabinet Secretary for Education the following Question: (a) Is the Cabinet Secretary aware that public schools in Ruiru Constituency are facing an acute shortage of learning facilities leading to congestion in classrooms, where close to 200 pupils share a classroom in several instances? (b) Is the Cabinet Secretary further aware that there is no public boarding school in Ruiru Constituency despite the high enrolment? (c) What criteria does the Ministry employ to allocate infrastructure funds to schools and specifically, when will schools in Ruiru Constituency be allocated funds to address the lack of ... view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Bunge kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie yale yaliyozungumziwa na kiongozi wa nchi alipotutembelea The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: hapa Bungeni. La muhimu ni kuwa kiongozi wa nchi alitambua ugatuzi kama njia mwafaka ya kuleta maendeleo katika maeneo mengi nchini. Tayari, Serikali kuu imepatia serikali za ugatuzi Kshs1.7 trilioni. Hii inamaanisha kuwa kuna shida kwa sababu asilimia 67.5 imetumika kwa mambo ya kawaida na si maendeleo. Ni vizuri serikali za ugatuzi ziangalie na kuona kiwango kikubwa kimetumika katika maendeleo na si mambo ya kawaida. Rais alizungumzia kuhusu mambo manne muhimu kama vile usalama, makaaji bora, viwanda na kilimo. Alisema kuwa huo ndio utakuwa mwelekeo wa kujimudu kama Wakenya wakati tunaongea juu ya maendeleo. Vile vile, aliongea kuhusu mambo ya ... view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Vile vile, Rais aliguzia mambo ya kilimo na akaongea juu ya kahawa. Alisema kitengo maalum kimebuniwa ili kiweze kusaidia wakulima wa kahawa kuendelea kushughulikia kahawa. Kwa maoni yangu, ni vizuri tuangalie mambo mengine yanayohusu kilimo. Kwa nini tunakubali mayai kutoka nje ilhali sisi wenyewe tunaweza kufuga kuku wa mayai? Ni vizuri sisi kama viongozi tutenge kiwango fulani cha fedha ili tusaidie wanachi wanaofuga kuku ili tuweze kukabiliana na watu wanaoleta chakula kutoka nje. Inawezekana kuwa nchi zinazotupatia chakula zimetenga fedha za kuwasaidia wakulima. Pia Rais aliguzia mambo ya masomo. Hakuna maendeleo yanayoweza kufanyika bila masomo. Katika eneo Bunge la Ruiru, ... view
  • 16 Oct 2018 in National Assembly: Asante sana, Bwana Spika kwa kunipa nafasi ya kuchangia Hoja hii. Niko katika Kamati ya Ardhi and ni vizuri niunge mkono Hoja hii kwa sababu ina uzito kimaendeleo. Kama vile wananchi wanajua, chochote kinachotendeka katika nchi yetu huwa kinahusiana na ardhi. Ardhi ni muhimu. Hoja iliyo mbele yetu inahusu ardhi na umaskini. Ardhi ndio huleta umaskini au utajiri. Kama vile imechangiwa hapa, duniani, utaratibu na upangaji wa ardhi uko wa hali ya juu sana. Wakenya wanastahili kusoma Ripoti hii. Tumeiangalia vizuri na tukaona kuna uzembe kidogo. Hata katika yale maeneo yaliyo karibu sana na Jiji la Nairobi, cheti na utaratibu ... view
  • 16 Oct 2018 in National Assembly: wote kuchukua hatua mwafaka tukitumia sera zitakazotupigisha hatua kimaendeleo. Ni changamoto kwa sisi wote Wakenya - moja kwa mwingine - kuchukua hatua na kusukuma mambo ya ardhi, kupunguza umasikini, tukitumia masomo katika Ripoti ambayo imewekwa mbele yetu siku ya leo. Naunga mkono Ripoti hii. view
  • 27 Jun 2018 in National Assembly: Asante sana, Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kuunga mkono kuondolewa kwa kipengele cha sita cha Ripoti hii kinachohusisha EACC. Sababu yake ni ukizingatia mambo mengi yamezungumziwa humu Bungeni, tumeona EACC ndio shirika ambalo tutahitaji kufanya upelelezi na utafiti wa mwisho wa ile Ripoti tumeleta Bungeni. view
  • 27 Jun 2018 in National Assembly: Vile vile wakati tulikuwa tunaandika Ripoti, tulipata hawakuwa na uwezo wa kusimamisha malipo ya pesa kwa sababu hilo si jukumu lao. Na kama tungependa kuendelea ni vizuri tuangalie ni akina nani wamehusika na tuone ni akina nani wanaweza kutusaidia kutafuta mwelekeo wa wale wamehusika. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus