24 Nov 2020 in National Assembly:
So, it is my humble request that all Members will support the Report so that, at least, we can move forward in seeing the project implemented and those involved in fishy deals are also taken good care of.
view
24 Nov 2020 in National Assembly:
With those few remarks, Hon. Temporary Deputy Speaker, I support.
view
8 Oct 2020 in National Assembly:
I have the pleasure to ask Question No.246/2020 to the Cabinet Secretary for Energy. (i) Could the Cabinet Secretary provide the status of electricity connectivity in Ganze Constituency, indicating the number of public schools, health centres and trading centres that are yet to be connected with electricity? (ii) When will the said schools and trading centres be connected, particularly Muryachakwe Primary School, Muryachakwe Dispensary and Muryachakwe Trading Centre despite poles having been erected in 2002? (iii) Why was the transformer at Ndugumnani Trading Centre in Mwahera Location in Vitengeni Division removed on 13th December 2019, and when will it be ...
view
8 Oct 2020 in National Assembly:
Thank you very much, Hon. Temporary Deputy Speaker. I rise to support the Bill. Looking at what is happening in the public, there are many flaws that we make as elected leaders. There is a regulation that says that, if for instance, I participate in a fundraiser and I am given something as an appreciation for participating, I am supposed to declare it. But if you look at records for the last three years, I have not heard anybody declaring anything including those who are known to participate in fundraising every time. It is time for us to have regulations ...
view
24 Sep 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker, for giving me an opportunity to also demonstrate my support for the report from the Committee. When you read the report and hear the sentiments shared by both the Chair and Vice Chair, it is clear that this Committee made very good observations and analysis of the four members. Their recommendations are quite fair because first, they have looked at their educational background and professionalism such that even the one whom they have recommended not to be given an opportunity to serve, they have gone ahead to give details which are very clear. I also want ...
view
2 Jun 2020 in National Assembly:
Ahsante sana. Ningependa kufahamisha Waheshimiwa kwamba Hoja hii hailengi kudhalilisha ama kuharibia kazi ya kamati yoyote, lakini inasaidia kuweza kupambanua ujuaji na hali sawa ambayo itaweza kuleta mwelekeo utakaokuwa mwema. Ningependa watu waelewe kwamba madhumuni ya Kamati hii ni kuhakikisha kwamba kila kitu kitakuwa kinafanywa kwa makini na kitu ambacho kimefuatilia utaratibu wa sheria za Bunge na sheria ambazo ziko hata kwa Katiba. Kwa hivyo, hakuna mahali ambapo pana bana mtu yeyote. Kwa hivyo, natoa ile hofu ambayo imetokea kwa baadhi ya Waheshimiwa ambao wanasema kwamba masuala kama haya yatakuwa yanabana kamati nyingine. Ningependa tuunge mkono na tuweze kufuatilia ili ...
view
13 Nov 2019 in National Assembly:
Asante sana, Bwana Naibu Spika wa Muda. Naunga mkono Mswada ulio mbele ya Bunge. Nina tashwishi kama vile mwenzangu kutoka Eneo Bunge la Kilifi Kaskazini alivyosema kwamba mpango huu unaonekana kuwa mzuri. Uhaba wake ni kwamba zile sehemu ambazo zimeongezewa hazitaweza kuleta ufanisi ama maendeleo kamilifu kama vile tungependelea. Eneo Bunge ninalowakilisha kule Kaunti ya Kilifi ndilo eneo bunge maskini zaidi. Katika mwaka wa 2013, lilinukuliwa kama eneo bunge maskini zaidi hapa Kenya. Hatujaona nukuu nyingine ambayo imelitoa katika sehemu hiyo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can ...
view
13 Nov 2019 in National Assembly:
Nashangaa kwa sababu katika ule muda ambao tumekuwa na hizi Pesa za Usawazishaji wa Maendeleo, hatujapata pesa ambazo zinaweza kutusaidia zaidi. Zimekuwa zikipelekwa katika kaunti ama serikali-gatuzi kuangalia maeneo yale. Kwa sababu kulikuwa hakuna mwelekeo thabiti au maalumu, umefanya maendeleo yaenezwe katika maeneo bunge ambayo hayajaathirika sana. Kuna umuhimu wa kuangalia huu mfumo mpya ili urekebishwe na kuhakikisha kuwa maeneo bunge ambayo yameathirika zaidi yanapata maendeleo yanayoambatana na vile ilivyopendekezwa katika Katiba. Kulingana na vile ambavyo mambo yalivyo kufikia leo, bado tuna matatizo makubwa. Tukiangalia ile miradi ambayo imefadhiliwa na pesa hizi hivi juzi, utaona kuwa maeneo bunge mengi - ...
view
30 Oct 2019 in National Assembly:
Asante sana Mhe. Spika kwa kunipa fursa nitoe mchango wangu. Moja kwa moja, nakupa kongole kwa kuwa wa kwanza kuleta tafsiri ambazo zitakuwa njema zaidi katika Bunge letu. Kwa miaka mingi, kutoka mwaka wa 1974 ambapo Bunge hili lilianza kutumia lugha ya Kiswahili rasmi, Kanuni za Bunge zingali katika lugha ya Kiingereza. Kupitia kwako, wema wako na Kamati ambayo unaongoza na mimi ni mmoja wa Wabunge, tumeweza kuleta tafsiri za Kanuni za Kudumu za Bunge hili. Hii imetupa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from ...
view
30 Oct 2019 in National Assembly:
historia nzuri zaidi. Najua itakuwa changamoto kuu lakini naomba tutafute mikakati ili tuwe na tafsiri ya Kanuni za Kudumu za Bunge kwa Kiswahili.
view