15 Jun 2017 in National Assembly:
Mhe. Spika, nashukuru kupata nafasi hii kutoa wasia wangu wakati nakunja jamvi kuagana na wenzangu - kuhusu Ripoti hii na kuhusu Bunge la Afrika mashariki. Si sahihi kwa hii Ripoti kunakili katika ukurasa wa 17 kuwa Chama cha ODM kilipeana majina matano. Mimi mwenyewe ndiye nilipeleka haya majina. Majina yalikuwa manne. Kwa hivyo, hii Ripoti imechangia kwa undani sana kuleta mambo ambayo hayakuweko. Nashangaa kwa nini kama tuna wafanyikazi ambao wanatakiwa kunakili kwa ufasaha yale ambayo yametokea, kuletea Bunge maandishi ambayo si sahihi. Kipengele cha 6(a)(i) kinasema kuwa kila chama kiko na nafasi ya kuleta watu ambao wamepatiwa. Hivi sasa, ...
view
15 Jun 2017 in National Assembly:
Hali ilivyo, sitakuwa kwenye Bunge la kumi na mbili. Laiti ningekuwepo…
view
15 Jun 2017 in National Assembly:
Lakini maadamu utafanya maamuzi, nitaangalia kwenye televisheni hivyo hivyo mwenzangu amenieleza. Nawasihi wabunge wenzangu waangalie kwa kikamilifu jambo hili. Sheria hazibadilishwi tu ili kupendekeza majina fulani. Chama cha ODM, vile ninavvojua, kitaendelea kusisitiza kuwa majina haya haya ndiyo yatakayoletwa tena. La mwisho, hatujui ni akina nani watarudi kushughulikia haya mambo. Nakubaliana na Mheshimiwa Duale kuwa kuanzia kesho, masilahi yake yatakuwa kuangalia kuwa amerudi hapa. Haya mengine kwake ni mzigo ambao hataki kubebana nao. Naomba nikunje jamvi kwa kusema hivi: tusigeuze sheria ili kubinafsisha watu fulani. Labda wengine wenu mnataka tuzigeuze ili msipo bahatika kurudi, basi majina yenu yaingizwe. Hata mimi ...
view
15 Jun 2017 in National Assembly:
Lakini kauli yangu nishaiweka wazi kuwa nagombea kiti cha gavana na wenzangu wananitakia kila la heri. Hata Mheshimiwa Duale amenitumia ujumbe akisema ananitakia mema. Anasema The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
15 Jun 2017 in National Assembly:
eti angekuwa mpigaji kura katika kaunti yangu, angenipigia kura. Kwa hivyo, sikubaliani na hii ripoti ya kamati. Ni ombi langu kuwa Bunge lisiikubali. Ahsante Mheshimiwa Spika.
view
15 Jun 2017 in National Assembly:
Hon. Speaker, with your permission. I am a scholar and I opted to use Swahili. That does not mean…
view
31 May 2017 in National Assembly:
Yes, Hon. Deputy Speaker. I had just moved. While it was being seconded, the issue of quorum was raised. After due consultation among ourselves, taking into consideration that the Senate did pass this Report without amendments, I wish to withdraw the amendment because it is still not a property of the House under Standing Order No.51 read together with Standing Order No.54. Having consulted, it is apparent that I did not have to consult the Leader of the Majority Party because he assumed powers--- The other Member of Parliament and the Chairman has come back. He has resumed his position. ...

On a point of order, Hon. Deputy Speaker.
view
31 May 2017 in National Assembly:
On a point of order, Hon. Deputy Speaker.
view