Thomas Mwadeghu

Full name

Thomas Ludindi Mwadeghu

Born

1953

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

wundanyiconstituency@yahoo.com

Email

Wundanyi@parliament.go.ke

Telephone

0724-285347

All parliamentary appearances

Entries 601 to 604 of 604.

  • 29 Oct 2008 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, nasimama hapa kuunga mkono Hoja hii ambayo imeletwa na Dk. Eseli. Ni jambo la uwazi kuwa ugawaji wa raslimali katika nchi hii umeelekezwa mahali fulani. Hata mtoto mchanga analiona hilo jambo. Kwa hivyo, tunaomba kwamba wakati huu madhumuni yetu ni kuangalia kuwa yale ambayo yalikuwa yametendeka kuhusu ugawaji wa raslimali--- Siko hapa kusema kwamba umeenda mahali fulani, lakini ugawaji wa raslimali ya nchi hii utegemee, kwanza, watu walio mahali fulani. Jambo la pili ni kwamba utegemee eneo ambalo linahusika katika ugawaji wa raslimali. Naomba nikupatie mfano; katika Mkoa wa Pwani. Kodi ambayo inatoka bandarini ndiyo ... view
  • 9 Jul 2008 in National Assembly: On a point of order, Madam Temporary Deputy Speaker. Do you not see that the House will be highly disadvantaged, if we allow the Minister to continue moving the Vote of her Ministry because we do not have anything? Though she has promised to bring those documents in the evening, it is highly unfair to all of us! view
  • 14 May 2008 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, nasimama hapa kupinga Hoja hii. Ninaelewa kuwa wengi walioteuliwa katika nyadhifa mbalimbali, kama vile Mawaziri, ni vijana na wanawali. Kwa hiyo, wanahitaji muda wa kuweza kuelewa na kuzingatia shughuli zao za kiofisi. Ni vizuri kujiuliza ni nini tumefanya tangu tuje hapa Bungeni. Ni Hoja na Miswada mingapi ambayo imeletwa hapa Bungeni? Je, tumewatumikia wananchi wetu vilivyo? Sisi tumeleta maswali mengi katika Bunge hili, lakini waheshimiwa Mawaziri wetu wamefanya nini? Bw. Naibu Spika, tunaambiwa kwamba wenzetu wanasema kuwa tunatakiwa kurudi mashinani ili tukazungumze na kushauriana wa wale waliotupatia kibali cha kuja hapa Bungeni. Ni sawa! Lakini tunafanya nini ... view
  • 19 Mar 2008 in National Assembly: Thank you, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, for giving me this opportunity to join my colleagues in supporting the Presidential Speech. My names are Mr. Thomas Mwadeghu from Wundanyi Constituency. I wish to take this opportunity to thank most sincerely my constituents for having given me an opportunity to serve them for the next five years. I believe and trust I will not let them down. Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, through Members of Parliament, a lot has been said, especially on marginalisation. Our biggest problem from my point of view is the management and distribution of our resources. This ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus