Wilfred Machage

Full name

Wilfred Gisuka Machage

Born

10th August 1956

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Post

P. O. Box 15292 00509 Nairobi

Post

P.O. Box 41842, 00100 Nairobi, Kenya

Email

gmachage@gmail.com

Telephone

0710442712

Link

@gmachage on Twitter

Link

@gmachage on Twitter

Dr. Wilfred Machage

Wanjiku’s Best Representative – Health (Senate), 2014

All parliamentary appearances

Entries 1141 to 1150 of 2209.

  • 24 Jul 2013 in Senate: Mheshimiwa Bw. Naibu Spika, nashukuru kwa wasaa ulionipa ili nitoe mawazo yangu kwa Mswada huu, haswa wakati huu tukiwakaribisha marafiki zetu kutoka Nyandarua. Wafugaji hawatoki kaskazini mwa Kenya tu; wafugaji wanatoka sehemu nyingi zingine. Kwa mfano, sehemu kubwa katika Kaunti ya Migori ni ya wafugaji. Karibu theluthi mbili ya eneo lililokuwa likiitwa Nyanza wakati huo ni sehemu za wafugaji. Mikoa ya Kati, Bonde la Ufa na hata sehemu za Mombasa na Pwani, The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 24 Jul 2013 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 24 Jul 2013 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, we have always been provided with copies of petitions that are presented before this House for our consideration. Would I be in order to request that copies of this Petition be made available to all hon. Senators for consideration before the matter is discussed in the House? view
  • 24 Jul 2013 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, in view of your informed decision, would I, therefore, be in order to request that we defer discussion on this Petition until copies are distributed to us? view
  • 24 Jul 2013 in Senate: Bw. Naibu Spika, sitaki kuingilia sera, desturi na haki za dini ya Sen. Haji. Ni haki yake kufikiria hivyo, lakini najua kwamba Waislamu ni asilimia kumi na tano tu katika nchi ya Kenya, ilhali asili mia 85 ni watu wa dini nyingine – Wakristo na kadhalika – kwa hivyo, hao bado wangepata haki yao kwa uchumi huo. Sio kwamba kila ngozi itolewayo lazima iuziwe Muislamu. view
  • 24 Jul 2013 in Senate: Bw. Naibu Spika, waheshimiwa wenzangu husafiri sana; hivi majuzi ametoka Uingereza akanunua viatu. Je, aliuliza ngozi hii ilitoka wapi? Yeye alivaa kiatu mara moja! view
  • 24 Jul 2013 in Senate: Lakini sasa, hayo ninayosema ni ya kweli; kama huyataki, ni sawa, kwa sababu pilipili usiyoila yakuwashiani? Twataka hivi viwanda vijengwe kila mahali, haswa tuangalie uchumi utokanao kwa ngozi. Sio vizuri – ama niseme sio halali – sisi tukiwa wafugaji walio na mifugo wengi, kuona raslimali yetu ikipotea, halafu twaagiza viatu kwa bei ghali kutoka nchi za nje. Huo ni ujinga, ubaradhuli, ukosefu wa hekima na kadhalika. Lazima tugutuke na tujue kwamba kuna sehemu nyingi ambazo tunaweza kutoa mifugo mingi yenye afya nzuri inayoweza kuchinjwa ikiwa bado hai ili Waislamu pia wafurahi. Katika sehemu za Nyanza, kama Lambwe Valley, tuna taabu ... view
  • 24 Jul 2013 in Senate: Bw. Spika, nakushukuru na naunga mkono Mswada huu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 24 Jul 2013 in Senate: On a point of information, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 23 Jul 2013 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir, for this opportunity. We are deliberating on allocation of finances to the counties albeit in a low tone after the Constitution was deliberately not followed by our sister House. This is an anomaly that deserved to be looked at critically. Thank God the courts are there. I believe the courts will be able to give a very sober decision on the matter. Mr. Deputy Speaker, Sir, we have a duty to allocate funds to the counties. Unless we do that, counties will be grounded. A sum of Kshs198 billion, as indicated on the Order ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus