Wilfred Machage

Full name

Wilfred Gisuka Machage

Born

10th August 1956

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Post

P. O. Box 15292 00509 Nairobi

Post

P.O. Box 41842, 00100 Nairobi, Kenya

Email

gmachage@gmail.com

Telephone

0710442712

Link

@gmachage on Twitter

Link

@gmachage on Twitter

Dr. Wilfred Machage

Wanjiku’s Best Representative – Health (Senate), 2014

All parliamentary appearances

Entries 531 to 540 of 2209.

  • 3 Nov 2015 in Senate: Bw. Naibu Spika, niruhusu niwakaribishe na kuwapongeza viongozi kutoka Homa Bay, ambayo ni Kaunti jirani. Ninafuraha, taathima na heshima, kuwatukuza viongozi hawa kwa kufika hapa siku ya leo, kwa ajili ya kujifunza. Huu uwe mfano bora kwa viongozi wa Kaunti ya Migori ambao tabia yao ni vita tu na kula rushwa. Natumai kwamba nyinyi hamna tabia kama hiyo. view
  • 3 Nov 2015 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I just wanted to inform you that I am around. view
  • 3 Nov 2015 in Senate: I apologize. view
  • 3 Nov 2015 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I appreciate the technicality of this question to the hon. Chairperson. However, we have a duty to ask a few questions, but I will only ask a simple one. In her Statement, she said that the nurses that administered the drug were qualified and had diploma certificates from some institution in this country. Putting aside the Statement she read from the Minister, as the Chairperson of the Committee on Health in the Senate, is she satisfied that a person with a diploma in nursing can make a mistake of injecting a drug at a wrong site? view
  • 3 Nov 2015 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, it is okay. We need proper answers for proper questions. view
  • 3 Nov 2015 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, the late Michael Kijana Wamalwa once said in the Nanyuki II conference that it is difficult at times to make decisions or understand arguments when people hide their cards under the table. I see that happening in this House. The Constitution and the Standing Orders are clear on matters that are being debated, especially on Standing Order 76(2). We also have a tradition which also guides the decisions of this House. What is more important is; we have a country that we should help to govern. We, as Senators, have a country before us and our ... view
  • 3 Nov 2015 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, have you noticed that there has been a lot of interference with the television transmission in the House? The “Lower” House is on recess. This is the only House that is being aired live. Is it, therefore, in order that there is intentional interference or sabotage on recording of what is going on in the House? view
  • 15 Oct 2015 in Senate: Bw Naibu Spika, asante kwa kunipa nafasi ili niunge mkono Hoja hii iliyopendekezwa na Sen. Murkomen. Wakati mwingi majuto ni mjukuu. Sio kwamba hatukujua kwamba kulikuwa na udhaifu kwa Katiba. Haya yalisemwa na wahenga wakati ule lakini sikio la kufa halisikii dawa; hawakusikia. Tunayoyaona leo kuhusu mamlaka ya Seneti ni udhaifu uliotabiriwa kwamba tunaunda Seneti ambayo haitakuwa na mamlaka na kutakuwa na upotevu wa pesa za umma. Sasa imebidi tuanze kufikiria ili tutekeleze yale ambayo tungeyatekeleza jana. Tumefikiria kwamba kura ya maoni ni muhimu wakati huu ambapo Serikali iko taabani, haina pesa. Kura ya maoni ni gharama kubwa. Tuna pengo ... view
  • 15 Oct 2015 in Senate: Nashukuru, Bw. Naibu Spika. Kusudi taifa letu tulijenge sote kwa dhati na kwa uangalifu, tukuze uchumi bora, maendeleo yawe ya kisasa na bora, watoto wafundishwe bila walimu kuenda mgomo, watu wapate matibabu kwa wakati uliofaa, tusiwe na vifo ambavyo havifai kama juzi wakati mgonjwa aliachwa ndani ya ambulansi kwa masaa kumi na nane, aibu. Ni wajibu wetu sisi tukiwa viongozi kuangalia udhaifu kama huu kwa Katiba na kurekebishwa. Naunga mkono. view
  • 15 Oct 2015 in Senate: Mheshimiwa Naibu Spika, nashukuru. Wewe ni mtu mwenye hekima na huna uonevu hata kidogo. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus