9 Apr 2015 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, would I be in order to request Sen. (Dr.) Khalwale to read Standing Order No.174 (2), it will answer him.
view
2 Apr 2015 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. With all due respect, I need guidance from the Chair. When you say the order is dropped, do you mean it is deferred to another day or it will never be heard again?
view
1 Apr 2015 in Senate:
Bw. Naibu Spika, leo twajadili kuhusu Hotuba iliyotolewa na Rais. Hotuba hii ni ya pili tangu Bunge la Seneti liundwe. Alisema mambo kadhaa na ilikuwa Hotuba ndefu ya maana na ilitukumbusha mambo mengi. Alitwambia mahali tunatoka na pale tunaenda. Pia, alisema kuwa uchumi wetu ulikuwa katika mwaka wa 2014 hadi kwamba ukigawanywa kwa kila mtu, unawezapata US$ 1,246. Sisi tena sio mkia wa nchi za uchumi, tuko katikati, tunasonga mbele. Leo Kenya inatambulika kama inayokua kiuchumi kwa kasi kwa asilimia sita, ikiwa nambari tisa kwa nchi za Africa. Alisema kwa nchi 57 ambazo zinakua kwa uchumi wa kasi ulimwenguni, Kenya ...
view
1 Apr 2015 in Senate:
Bw. Naibu Spika, kwa heshima na taadhima kwa kiongozi mwenzangu, mimi sikumtaja mtu yeyote; nimedokeza tu! Lakini kwa sababu anataka---
view
1 Apr 2015 in Senate:
Bw. Naibu Spika, leo tunaangaza mawazo yetu---
view
1 Apr 2015 in Senate:
Naja hapo, Bw.Naibu Spika.
view
1 Apr 2015 in Senate:
Bw. Naibu Spika, nataka kujibu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
1 Apr 2015 in Senate:
Bw. Naibu Spika, tazama ripoti hii katika ukurasa wa 16 kuhusu Waziri Chirchir. Niruhusu niendelee, huyu atasoma baadaye; amesoma sana huyo.
view
1 Apr 2015 in Senate:
Ukurasa wa 15 au wa 16, soma hapo.
view