1 Apr 2015 in Senate:
Bw. Naibu Spika, nimesema tutizame ripoti ya Waziri Chirchir. Iko hapa, mtaisoma. Lakini---
view
1 Apr 2015 in Senate:
Bw. Naibu Spika, ningependa tutizame ukurasa wa 15 wa ripoti hii katika aya ya kwanza, mstari wa mwisho. Ninanukuu kwa kiingereza:- “the tender was meant to corruptly yield US$15 million, which was to be shared between Davis Chirchir and Senator Mike Mbuvi.”
view
1 Apr 2015 in Senate:
Bw. Naibu Spika, nilisema hivi; ni aibu iliyoje kwamba wenzetu wametajwa katika ripoti hii? Naomba ninukuu vizuri, hata nikasema kwamba Sen. Orengo ametajwa kimakosa kwa sababu anadai urithi wa babake, ambayo ni haki yake. Ilhali imeandikwa hapa kwamba yeye ni mfisadi kwa kudai haki ya babake, na kadhalika. Ndipo sasa nikaulizwa niseme hawa wengine ni kina nani; basi mmesoma kwa ripoti. Yaliyomo katika ripoti hii---
view
1 Apr 2015 in Senate:
Yaliyomo kwa ripoti hii yamedokezewa kwetu na Rais mwenyewe, tuyasome, tuyaelewe na tuyachunguze. Ethics and Anti-CorrruptionCommission wamesema watayachunguza. Wamepewa muda wa siku sitini kufanya vile, lakini hizo ni chache; lakini huo muda ndio waliopewa. Wako na wafanyikazi wa kutosha na tunatarajia watupe ripoti kamili kwa muda wa siku sitini. Hiyo ni amri ya Rais wa nchi hii. Kwa ufupi, sioni makosa Rais alifanya kwa kutupa ripoti hii; ilikuwa ni wajibu wake atuambie yaliyo kichwani mwake na yale mazito aliyokuwa nayo akatudokezea sisi tuyafikirie ndiposa akatupa ripoti hii tumsaidie kimawazo. Kweli, kuna mengine ambayo hayastahili kabisa kulingana na vile yalivyoandikwa, lakini ...
view
25 Mar 2015 in Senate:
Mheshimiwa Bw. Spika, niruhusu niangaze mawazo yangu kwa kazi nzuri iliyotekelezwa na Mama wa Taifa. Sijui kwa nini aliuita huo mpango wake Beyond Zero Campaign, lakini hata hivyo, twamshukuru. Hizi kaunti 20 ambazo amezitaja ndizo kaunti zilizo na wingi wa vifo kwa sababu zingine; vifo vya watoto, vifo kwa sababu ya magonjwa ya zinaa kama vile UKIMWI na kadhalika. Kwa sababu gani akachagua sehemu hizi 20? Hili ni swali ambalo lazima lijibiwe na Serikali. Ukweli ni kwamba hizi ni sehemu ambazo zilipuuzwa tangu zamani. Hivyo basi, Mama wa Taifa aliona haya ndipo akaanzisha Beyond Zero Campaign. Namuomba afanye hima ili ...
view
25 Mar 2015 in Senate:
Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. I support this Bill on The Environment Management and Co-ordination (Amendment) Bill (National Assembly Bill No.31 of 2014). I have looked at the Memorandum of Objects and Reasons for this amendment. Mainly it is to make provisions for the current environmental management and co-ordination Act to realign itself to the current Constitution. It also enhances the penalties for people who willfully pollute the environment. The environment is life and so, there is need to consolidate all the laws that manage the environment. I am thinking of the Forest Management Act, The Waste The electronic ...
view
24 Mar 2015 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. The Motion before us is a straight forward Procedural Motion brought by the Senate Deputy Leader of the Majority. He may have forgotten that, really, it is noble to pick on a Member of the Opposition – especially as one of the leadership of this House – to support such a noble request of the House maybe because, for reasons we do not know, he is not always in the House---
view
24 Mar 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I have not disputed at all that he may have been out with the permission of the Chair. I have no power to know that and all I have done is to make an observation of what we see in the House. If he does it with the permission of the Speaker, it is all right!
view
24 Mar 2015 in Senate:
Having said all that, Mr. Speaker, Sir, I seek that the Members on this side of the House do not revenge on other issues on passing this Motion. I think it is important partly because we are also to blame, as a House, for prolonging Bills unnecessarily that should have been passed in good time. We are now paying the price such that we have to find more time to pass Bills that should have been passed in a very short period. We really have no alternative but to obey the Constitution and try to pass or refuse to pass ...
view
24 Mar 2015 in Senate:
On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir. Sen. (Dr.) Khalwale has made a very serious allegation against the Chair and has doubted whether we actually have a Speaker on the Chair now. Would I be in order to demand that Sen. (Dr.) Khalwale pin-points the Standing Order on which he rose?
view