25 Jun 2014 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
25 Jun 2014 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, my point of order is on the same line of ruling that you are doing. My understanding is that all travelling of Members of this House is approved by your office. Therefore, is it not true that the Speaker’s office was aware that these Members were out of the country?
view
25 Jun 2014 in Senate:
Will I, therefore, be in order to request that you order the Clerk’s office to always inform you which Members are out and when?
view
25 Jun 2014 in Senate:
Bw. Naibu Spika, namshukuru sana Sen.Halima kwa Hoja aliyoileta katika Bunge hili. Kuna mengi ya uchungu ambayo wakati mwingine ni magumu kuyataja na kuyazungumza hapa. Wakati mwingine ukizifikiria zile sehemu zilizosahaulika tangu siku za ukoloni mpaka sasa, badala ya kulia utaangua kicheko, kwa sababu si jambo ambalo halijajulikana na Serikali wala kudhihirika. Nafikiri hili ni jambo ambalo limetendwa kwa nia ya kuua utu wa Wakenya wengine nchini. Wakati umefika ambapo sisi, hasa wale tunaotoka sehemu hizi ambazo sasa wameziita “ marginalized” kwa kimombo, kwenda kotini. Tutaenda kotini tukidai riba kwa dhulma ambayo tumetendewa na Serikali hizo zote mpaka leo. Tumenyimwa ...
view
24 Jun 2014 in Senate:
On a point of information, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
24 Jun 2014 in Senate:
May I inform Sen. Wako that---
view
24 Jun 2014 in Senate:
May I inform Sen. Wako that we also have a Mr. Marwa, a referee from Kuria in Brazil.
view
24 Jun 2014 in Senate:
Asante sana, Bw. Naibu Spika. Niruhusu niseme yangu machache juu ya janga hili la kukosa usalama nchini. Tunapoongea jambo hili, tujue kwamba kwa kawaida, matibabu ya ugonjwa sio lazima kugonga pale uchungu ama maumivu yalipo; eti ukiumwa na kichwa, unaenda kukata kichwa kwa sababu uchungu uko kwa kichwa. Labda shida ni nyingine. Labda una viini au damu inakimbia sana. Kwa hivyo, ni lazima utafute ni sababu gani kichwa kinauma wala sio kukimbilia kukata kichwa. Hivyo ndivyo wenzetu labda wanafikiria juu ya jambo hili la usalama; kwamba labda kwa sababu kuna vita au watu wameuwawa sehemu fulani, inafaa Mkuu wa Polisi ...
view
24 Jun 2014 in Senate:
Add me one more minute!
view
24 Jun 2014 in Senate:
Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika. Mwenzangu amesema kuwa kichwa cha nchi hii kinauma na kimekosa nidhamu au kina ugonjwa. Ningependa atueleze anamaanisha nani.
view