26 Mar 2014 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, in the Government’s raid on the mosque, some members of the public could not be accounted for after arrests were done. Can you The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
25 Mar 2014 in Senate:
Asante, Naibu Spika. Mwalimu Karaba, katika Hoja yake, amesema kuwa yatakikana Serikali ya Kitaifa ifikirie na kuanzisha kwa dhati halmashauri itakayochunguza mambo ya ajira, mafunzo, uangalizi wa tabia na kuendeleza elimu ya watu wazima. Ametaja Kipengele cha 43 cha Katiba ya Kenya akiunganisha na Kipengele pia cha 223 cha Katiba ya Kenya inayosema kuwa kila mtu ana haki iliyo sawa kupata elimu. Ingawa namuheshimu sana Sen. Murungi, akiwa mzee The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
25 Mar 2014 in Senate:
Bw. Naibu Spika, ningemuomba mwenzangu asikilize kwa makini, ingawa yuatoka Pwani, naona kuwa lugha ya taifa inampita kidogo. Kwa sababu mimi nimeangaza wazo la Sen. (Prof.) Anyang’Nyong’o alipotoa tahadhari kwamba badala ya kujivinjari kutafuta mke wa pili ukifikia umri wa miaka 60, kuna njia nyingine zaidi hata kwenda shuleni ambayo unaweza kufurahia maisha yako ya usoni. Kwa hivyo, sikusema hata kidogo kwamba kuoa mke wa pili, wa tatu ama wa nne ni vibaya; kipenda roho basi huenda ukala pilipili; shauri yako. Kama dini yakuruhusu, basi ni bahati yako. Sisi wengine walio Wakristo haturuhusiwi!
view
25 Mar 2014 in Senate:
Kwa hivyo, Bw. Naibu Spika, jambo la kuanzisha halmashauri kamili kutekeleza ombi hili la mwalimu Karaba ni jambo la dharura na limepitwa na wakati. Hii ni kwa sababu baadhi ya walimu walioko vijijini ambao wanatekeleza jukumu hili la kuwaelimisha wananchi ambao hawakupata nafasi ya elimu wakati huo ni walevi. Elimu ya wengine wao ni duni na wengine hata hawaendi shuleni na hata vituo hivyo havipo vijijini. Pia, mawazo ya walimu hao hutatanishwa kwa sababu wakati mwingi hata hawana mishahara. Wakati mwingi, sehemu hii ya elimu hata hatambuliki kwa Wizara ya Elimu nchini. Kwa hivyo, ni muhimu kuwa na halmashauri wakati ...
view
19 Mar 2014 in Senate:
Order. Kama unataka kuongea kwa lugha ya Kiswahili, ongea kwa lugha hiyo. Management si neno la Kiswahili.
view
13 Mar 2014 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. Is it in order for a Member of this Senate to refer to a dignified Senator as a day dreamer? Could the Member withdraw and apologise?
view
13 Mar 2014 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. Sen. Sonko has tabled copies of receipts of the parking fee in Nairobi. Are the documents which he has just laid on the Table authentic? We know we have people collecting taxes in this town with fake receipts. Are they authentic?
view
13 Mar 2014 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. The matter before the House seems to be lengthy and it might take all the time of this House if we have to listen to the arbitration. Would I, therefore, be in order to request that this matter be referred to the relevant committee for investigation and arbitration?
view
12 Mar 2014 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I appreciate the contribution by the Leader of the Majority. But would I be in order to demand that these middlemen who mess about with the Senate are named so that we get to know who they are?
view