William Kamoti Mwamkale

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 134.

  • 1 Dec 2021 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika kwa nafasi hii. Nasimama kujiunga na wenzangu kumpongeza Rais kwa Hotuba hii ambayo ni matakwa ya Sheria Kifungu 10 cha Katiba yetu. Rais ametekeleza yale ambayo ameweza kuyatekeleza na ni lazima yapelekwe kwa wananchi ama watu waambiwe kile ambacho kimefanyika. Kwanza, Mhe. Spika, nataka nimpongeze Rais kwa yale aliyofanya kwa upande wa miundo msingi ndani ya nchi hii. Miundo msingi ni infrastructure . Rais amejaribu ingawaje kuna mengine ambayo akiyafanya, atatekeleza ama atawacha wosia ulio kamili. Kwa bandari, Rais amejaribu. Bandari ya Mombasa ameipanua vizuri na imebadilika sura. Ametupatia pia bandari mpya Lamu. Kitu ambacho tunamuomba ... view
  • 1 Dec 2021 in National Assembly: Sisi kama wakaazi wa Rabai, tunashukuru kwa kuwa barabara kutoka Jomvu hadi Kwambaje inamalizika. Ni barabara nzuri na tuna imani kwamba hata ile ingine ya kutoka Bamburi kuenda Ngondora pia itamalizika ili nasi wakaazi wa Rabai tujivunie. Tumekuwa na mapendekezo kwamba kuwe na barabara kutoka Bagamoyo mpaka Kibao Kiche ambayo itarahisisha mavuno ya wakaazi kufika kule ambako yanatakikana kufika. view
  • 1 Dec 2021 in National Assembly: Vile vile, tunampongeza Rais kwa upande wa afya. Amejaribu. Yote ambayo aliyoyaeleza hapa yamefanyika Nairobi. Tunataka akitengeneza zahanati zingine hapa, aende Kisumu na aende Pwani pia tuone zahanati zingine zikitengenezwa huko. Isiwe ndani ya Nairobi Kaunti na kwa majeshi peke yake. Hata wale wengine pia hawana mwingine wa kuangalia. Ni yeye tu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 1 Dec 2021 in National Assembly: Linda Mama ni jambo ambalo limegusa watu wengi. Sisi kama Wabunge huwa tunafuatwa na kila mtu wakati wanapokuwa wagonjwa. Hata mama akienda kujifungua anatufuata. Lakini Linda Mama imetupumzisha sisi Wabunge. Imepumzisha viongozi na inafanya kazi nzuri. Kwa hivyo, tunapongeza na tunasema: Mgalla muue na haki yake umpe. Jamani, hakuna aliye kamili. Aliyoyafanya Rais Kenyatta, yamegusa Wakenya. Tupende tusipende si lugha nzuri, lakini Mgalla muue, na haki yake umpe. Ahsante sana, Mhe. Spika. view
  • 6 Oct 2021 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika. Hii ni Ombi muhimu na imefika wakati wake. Lazima Serikali iwajibike isifilisishe wananchi wake. Lazima serikali za kaunti pia ziwajibike. Watu wanachukua mikopo na vitu vyao vinanadiwa. Baadaye hawalipwi na inakuwa Serikali ndio inafilisisha watu wake. Hii ni mbaya. Serikali lazima ijipange. Kabla haijafanyiwa kazi, iwe na pesa. Waige mfano wa CDF. Pesa inatengwa ndio kazi ifanyike. Sio watoe kazi na pesa hawana. view
  • 6 Jul 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. I rise to support the approval of this Report which by extension is supporting the regulations therein. view
  • 6 Jul 2021 in National Assembly: I am a Member of the Committee on Delegated Legislation and would like to tell Members that we are here today because the Council of Governors (CoG) went to court and stopped the Equalisation Fund. In as much as we might not be comfortable with most of the provisions appearing in these regulations, they were actually dictated by the judgment of the court which indicated this should happen for the Equalisation Fund to continue. We examined these regulations and found they were in line with Article 204 of the Constitution. They also complied with the Statutory Instruments Act and public ... view
  • 30 Jun 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I rise to ask Question No.218/2021. My Question is directed to the Cabinet Secretary for Water, Sanitation and Irrigation. (i) What is the status of construction of Mzima II Water Supply Project and when is it expected to be completed considering the dire need of water supply in Rabai Constituency and surrounding areas? (ii) Could the Cabinet Secretary explain whether there are any other plans to expand the capacity of old Mzima Water Supply Project in Rabai Constituency, which was constructed before independence and can barely support the current population? (iii) Could the Cabinet Secretary also ... view
  • 30 Jun 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I rise to ask Question No.218/2021. My Question is directed to the Cabinet Secretary for Water, Sanitation and Irrigation. (i) What is the status of construction of Mzima II Water Supply Project and when is it expected to be completed considering the dire need of water supply in Rabai Constituency and surrounding areas? The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 30 Jun 2021 in National Assembly: (ii) Could the Cabinet Secretary explain whether there are any other plans to expand the capacity of old Mzima Water Supply Project in Rabai Constituency, which was constructed before independence and can barely support the current population? (iii) Could the Cabinet Secretary also explain the status of completion of Mwache Dam in Kwale County, which is expected to serve the residents of Kwale, Mombasa and Kilifi counties? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus