Willy Mtengo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 26.

  • 25 Aug 2016 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me the opportunity to also contribute to this Bill. I come from a constituency that hosts a number of casinos that are foreign owned. It is evident that huge profits accrue from these businesses but, those profits are repatriated to where these people come from. view
  • 25 Aug 2016 in National Assembly: Any effort by the state to regulate this sector with a view of making sure that the Government gets its rightful share, particularly in terms of regulating the tax regime that will be applied on these businesses, is welcome. For once, we are going to see development that directly comes from our area. These businesses are making a lot of money but it is sad to see this money going elsewhere. We are not supporting this Bill because we want to deter investments in our areas. No! We are supportive of these investments but we want to see the state ... view
  • 25 Aug 2016 in National Assembly: I believe that we will ultimately see development in our areas accruing from the businesses that are currently repatriating money from overseas. view
  • 25 Aug 2016 in National Assembly: With those remarks, I support. view
  • 27 Jul 2016 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Ningependa kuchukua fursa hii kukushukuru kwa kunipatia nafasi niweze kuichangia Hoja hii muhumi inayoshinikiza Serikali kusambaza maji kwenye taasisi za umma, zikiwemo shule za msingi. Ni dhahiri kwamba uhaba wa maji katika shule zetu ni suala nyeti linaloathiri pakubwa masomo ya watoto wetu. Nimetoka katika sehemu ambako takriban asilimia 30 ya shule hazijaunganishwa kwenye mtandao wa maji. Ni muhimu tuiunge mkono Hoja hii ili watoto wetu wapate maji masafi. Hii ni haki yao ya kimsingi ambayo inalindwa na Katiba. Ninashule ambayo watoto hutembea takriban kilomita tano baada ya kusoma, kwenda kuchota maji ndio warudi shuleni. ... view
  • 27 Jul 2016 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 6 Jul 2016 in National Assembly: Ahsante Mhe. Spika wa Muda. Kwanza, nachukua fursa hii kukushukuru kwa kunipatia nafasi ya dakika chache kuchangia Hoja hii ambayo ni muhimu kwangu na kwa mhe. mwenza jirani. Ana dukuku la kutaka kuchangia. Sisi tunatoka sehemu ambayo samaki The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 6 Jul 2016 in National Assembly: ndiyo kila kitu kwetu. Natoka maeneo ya Pwani. Kusema kweli, uvuvi ambao tumekuwa tukiutegemea ni asilia. Tutaunga mkono kila nia ya kuboresha uvuvi nchi yetu. Uvuvi ambao tunatekeleza na tunaona unaendelea maeneo mwetu ni ambao umetumia mbinu za kizamani kama vile utumizi wa nyavu na majarife. Pia, tumeona utumizi wa neti za kulalia kuvua samaki. Neti hizi zinaadhiri mazao ya samaki wetu. view
  • 6 Jul 2016 in National Assembly: Tumeona Serikali ikijaribu kuweka himizo sana kwa kuboresha sekta hii. Najua kuna chuo cha Serikali ambacho ni cha mafunzo ya uvuvi wa samaki. Lakini, chuo hiki hakitoshi kwa sababu ni kimoja. Na kama vile Mhe. aliyenitangulia alivyozugumza, chuo hiki kinafunza mafunzo ya taaluma ya juu sana. Tunataka chuo ambacho kinafunza wavuvi mambo ya kawaida. Je tutawafanyia nini wale ambao wanaingia ndani ya madau kwenda baharini kuvua samaki? Sisi hatuna rasilimali nyingine maeneo tunayotoka. Tuna uvuvi peke yake. Kwa hivyo, tunaunga mkono Hoja hii ya kuleta vyuo na tutavisaidia. Niko tayari kutoa ardhi sehemu ya Malindi ya kujenga vyuo. Tuko na ... view
  • 6 Jul 2016 in National Assembly: Naibu Spika wa Muda, nina wasiwasi sana. Kama nitakula samaki kutoka China, kesho hata unga wa sima ambao nitakula kule nyumbani pia utakuwa umetoka China. Hili ni jambo la kunishitua. Nilizaliwa eneo ambalo samaki ni wengi. Tumekuwa tukila samaki miaka yote. Mbona leo samaki wamepungua? Haya ni masuala ambayo tunataka tuyakadirie kwa kina na tuyatafakari. Lakini la msingi ni kusema kwamba moja kwa moja naunga Hoja hii na ninaisimamia. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus