All parliamentary appearances
Entries 201 to 205 of 205.
-
18 Apr 2006 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. Prof. Anyang'-Nyong'o has just referred to a judgement of the High Court of Kenya as fraudulent. Is he in order to do so?
view
-
6 Apr 2006 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
-
6 Apr 2006 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, while Mr. J. Nyagah has invoked the Bible, he should know that Jesus did not preach water and drink wine, he preached water and drunk water! However, the NARC Government preaches water and drinks wine!
view
-
29 Mar 2006 in National Assembly:
seconded.
view
-
29 Mar 2006 in National Assembly:
Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili nichangie Hoja iliyo mbele yetu, ambayo yahusu usajili wa shukrani za Nyumba hii kwa Hotuba ya Rais. Hotuba ya Rais ilikuwa nzuri. Iligusia mambo mengi kuhusu sekta nyingi za maendeleo, ambazo zaweza kubandilisha maisha ya Wanakenya. Alipokuwa akiisoma Hotuba yake, waandishi wa habari waliwapiga Wabunge picha wakiwa wamelala. Katika Bunge la Tanzania, jambo hilo limechunguzwa na kujulikana kwamba Wabunge hawalali katika Chumba. Wanachofanya ni kutafakari Hoja. Kwa hivyo, ningependa kuwaambia Wabunge wenzangu, na Wakenya kwa jumla, kwamba Wabunge huwa wakitafakari Hoja wanapofunga macho wakiwa katika Chumba. Rais alizumgumzia ...
view