All parliamentary appearances
Entries 1111 to 1120 of 1707.
-
25 Apr 2013 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, since you have confirmed that you are aware of this meeting in Mombasa, we are quite prepared to go and participate in the deliberations together with the Governors. We request the Senate, through you, that we should not be made to travel in economy class while the Governors are travelling in business class. There is a rule that when we are travelling within the country, at least, we should be given the courtesy to travel in business class.
view
-
25 Apr 2013 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I would not like to be given a new name called Haji Yusuf. My name is Mohamed Yusuf Haji.
view
-
24 Apr 2013 in Senate:
Bw. Naibu Spika, kwanza, ningetaka kukupongeza wewe na Bw. Spika kwa kuchaguliwa kusimamia hii Seneti. Sina shaka, kwa muda ule tumeweza kukaa pamoja, kuwa ninyi wawili ni watu ambao wanaweza kutuongoza katika kazi muhimu ya Seneti hii. Pia, ningependa kumpongeza Kiongozi wa chama tawala pamoja na kiongozi wa upinzani, wasaidizi wao pamoja na Chief Whips kwa kuchaguliwa kwao. Tunataka kuwahakikishia kuwa tutafanya kazi nao ili tuboreshe kazi ya Senati hii. Bw. Naibu Spika, pia, ningetaka kumpongeza Mheshimiwa Rais na Naibu wake kwa kuchaguliwa kwa wingi na wananchi wa nchi hii. Ningetaka kuwaambia kwamba kila mwananchi katika Kenya ana matumaini makubwa ...
view
-
24 Apr 2013 in Senate:
Elfu hamsini!
view
-
24 Apr 2013 in Senate:
Bw. Naibu Spika, hizo ni kura nyingi sana kwa sababu wengine walichaguliwa na kura 20,000 na kwenda chini. Kwa hivyo, ningependa kuwarudishia shukurani za dhati kwa kunichagua kwa kura nyingi sana. Pia ningependa kuwahakikishia kwamba kutokana na uaminifu ambao walionyesha kwa kunichagua, nitahakikisha kwamba ninatekeleza wajibu ambao ninatakikana kutekeleza katika Kaunti yetu ya Garissa na nchi nzima kwa jumla. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
-
23 Apr 2013 in Senate:
Hoja ya nidhamu, Bw. Spika. Hii hali ya kulia kila siku itabadilisha nini? President ameapishwa na Serikali kuundwa! Kwa hivyo, tuzungumze yale ambayo yanafaa kuzungumzwa na tuwachane na hayo mengine.
view
-
17 Apr 2013 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I very strongly feel that we have been ambushed by the proposal to adjourn the House, simply because some people want to attend the opening of the county assemblies. We wanted to do that, but there was a letter which was written by the Senate requiring us that after the adjournment of the Senate tomorrow, we will proceed to Naivasha so that we can participate in the induction course. Now, it looks like the Mover and Seconder have ambushed us because it is only taking into account the interest of those who come from very close areas. ...
view
-
17 Apr 2013 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I second the proposed amendment.
view
-
2 Jan 2013 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I rise to second this Bill wholeheartedly. I appeal to the Members to equally support it because of the importance of the job of the officers of the Provincial Administration.
view
-
2 Jan 2013 in National Assembly:
I cannot imagine, at all, the absence of the Provincial Administration in playing its useful role in the society of Kenya, particularly in rural areas where they play a vital role in
view